Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Sasa huyo Magufuli aliyeua na kutesa watu yupo wapi? Hata huyu mama akiua wapinzani kwamba mwisho wake ni nini? Tatizo watu wengi wanadhani suala la katiba mpya ni la wapinzani peke yao. Hebu nikuulize swali, Tume ya Jaji Warioba ilipozunguka nchi nzima kupata maoni ya watu nchi nzima walikuwa wanazungumza na wapinzani peke yao? Katiba mpya ni maoni ya wapinzani? Mna matatizo sanaMkuu mbona unaongea nadharia sana?
Yaani mwenyekiti wa chama tena mwenye kofia mbili akose ushawishi? Et sababu top oppositional leaders demands katiba mpya ndo akose ushawishi? Naamini wewe sio mgeni ni mzawa hapa bongo. Regime iliyopita ilikuwa na makosa kibao lakini ikapita kwa KISHINDO Asilimia zaidi ya 95%.
Au unafikiri mamlaka aliyokuwa nayo hayati, mama yetu hana? Msijifariji bhana. Tafteni namna ya kuongea na Mama sio kujidai mnaijua katiba sana. Huku wengine mkijidanganya mtaingia barabarani kwa maneno nyuma ya keyboard hahahaha. Wale jamaa wenye kofia nyekundu hawana kazi za kufanya mtajua hamjui.
Hata ningekuwa mimi nisingekubali yaani niwawekee mazingira ya kuingia kwenye uongozi kiulaini tu et sababu ya wapiga kelele. iiihiiiiii aaaaaahaaaaa.