Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Ndiko wanakotaka twende hawa.Wanasema uchumi ni jambo endelevu huku wakijidangaya Katiba sio jambo endelevu....pumbavu kabisa ndio maana yule jamaa alikuwa akiwatukana na kuwafinya..
Kenya walibadirisha katiba lakini matokeo yake mpala leo kila siku wapo kwenye migogoro na mambo yasioeleweka mara BBI na ujinga mwingi kila siku...bado tena wapo wanaohitaji katiba mpya nyingine tena kwa maana ya marekebisho ya ile mpya ambayo walitumia muda na fedha kuitengeneza..
Nimeamini Africa na WaAfrica bado tuko kwenye stage ya mijeledi na utumwa, bado tunahitaji miaka zaidi ya 100 ya fimbo, mijeledi na unyama ili akili zikae sawa... na tukivuka hiyo stage tunaweza kuanza next stage ya civilization. Yule jamaa alikuwa sahihi kuwachapa na kuwafinya wapumbavu ili mambo yaende kuliko kucheka nao, kuwabembeleza na kujadiliana nao...full blackmailing + brutality hii ndio stage ya mtu mweusi kwa sasa...
Na taratibu tutaelekea huko.
Ametokea mtu anawaskilizaa, anawashirikisha, anawahurumia halafu wao wanamuona famba sio???
Rest in Peace JPM. Ulitufundisha kuhusu hawa wash.. enzi kwa vitendo.