Itashangaa "LATRA isipoifungia kampuni ya mabasi ya Shabiby.

Shabiby ni mara chache kupata ajali inawezekana kafululiza kupindi hiki ila ni kampuni ambayo ni mara chache kuripotiwa kwenye ajali
 
tupia hata kapicha za hiyzo mara chache... na kwanini mwamdishi hajataja jina la hiyo kampuni ya basi kubwa la abiria?
 
Kuna siku yatakukuta au ndugu yako utaelewa
Mawazo mgando hayo kwamba kisa unataka shabiby ifungiwe ikifungiwa ndo ndugu zako hatapata ajali? Ndege zenyewe zinapata ajali na zinapotea hazipatikani watu hawaziki hata ndugu zao
 
Tatizo elimu,elimu
 
Elimu ni tatizo kama watu kama wewe ndo wanategemewa nchi isahau kupiga hatua kiuchumi kila kampuni utaifungia kisa imepata ajali
Tulia,mtaondoka barabarani kupitia SGR. Tumechoka kulia na kuzika
 
Back
Top Bottom