Itatokea nini tukiamua tusilipe deni la Taifa Tsh Trilioni 100?

Itatokea nini tukiamua tusilipe deni la Taifa Tsh Trilioni 100?

Dawa yadenikulipa

Ndugu yangu, kukopa pesa kwa riba ili ulipe mkopo mwingine tena wenye riba, utajikuta deni linakuwa na huna unalofanya, tufanye maamuzi magumu tu..., kama ni kuuzwa waje watupige mnada tu, lakini hakuna tena kulipa
 
Mzungu aingizwe mjini na akili zinazowaza kama hivi ? Badala uwaze kwa nini mnakopa na mfanye nini ili msiendelee kukopa wewe unawaza kuwaingiza mjini wazungu ambao bila wao Serengeti national park itakuwa ya kufugia ng'ombe au Mlima kilimanjaro utakuwa likichuguu likubwa lisilo na faida.
 
Back
Top Bottom