Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Hicho Ndiyo Kitu Cha Kwanza Ambacho Kwa Tanzania Tulivyo Duni Hata Mwezi Hautaisha Uchumi Utadorora Na Hapo Ndiyo Utakuwa Mwisho WetuUtawekewa vikwazo vya kiuchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho Ndiyo Kitu Cha Kwanza Ambacho Kwa Tanzania Tulivyo Duni Hata Mwezi Hautaisha Uchumi Utadorora Na Hapo Ndiyo Utakuwa Mwisho WetuUtawekewa vikwazo vya kiuchumi
Tanzania Itawekewa Vikwazo Halafu Kwakuwa Ni Nchi Ya Ujanjaujanja, TwafaaTusilipe tu
Sasa utafanyaje biashara na dunia mkuu. Maana leo hii ukitaka kulipia mzigo china tunaomba TT bank kuu kupitia bank yako. na zote zinaombwa federal bank pale New York then ndio mzigo unaenda kwa wenyewe. Sasa bila hiyo unafanyaje jombaa.Hivi ikatokea tukaamua tu tuwaingize mjini haya mabeberu yanatukopesha mamikopo kwa fujo kama ugomvi na tusiwalipe tu, watatufanya nini kwani? Ukiacha kukamata ndege, watafanya nini?
mutaolewa nyinyi wanaume kwa kupewa upindeNasemaje, kama ni kuolewa tutawagawa dada zetu wakaolewe huko, potelea mbali, ila hili deni limeshakuwa toxic, hakuna tena kulipa!
Wewe umewahi kudaiwa na ukajaribu kukwepa kulipa deni?Hivi ikatokea tukaamua tu tuwaingize mjini haya mabeberu yanatukopesha mamikopo kwa fujo kama ugomvi na tusiwalipe tu, watatufanya nini kwani? Ukiacha kukamata ndege, watafanya nini?
Nani kakwambia hakuna mahakama ya madeni ya nchiKwanza kabisa deni la Taifa ni tofauti na deni la kampuni kwa sababu Taifa huwezi kulipeleka mahakamani yaani hakuna mahakama ya madeni ya Nchi
Kwa hiyo utabembelezwa tu kulipa na ukoshindwa unapewa zingine
Sasa kwa nchi za kimasikini na sio Africa pekee bali nchi nyingi wanaokopa wanagawana nusu na nusu inaingizwa kwenye miradi na huko inakutana na majizi mengine
Ndio maana mtakaa kila siku kukatikiwa Umeme wakati wajanja walishaomba hela za mitambo ya umeme wakala
Nchi zetu hazina wazalendo maana hata mtoto wa kiongozi anafundishwa kuiba
Nahisi hapa kwetu wataweka waziri wao wa fedha kwenye bwawa la Nyerere, umeme unit 1 tutauziwa buku, hadi deni liishe...Misri miaka mingi iliyopita walizingua kulipa madeni waliyodaiwa na UK na France. France na UK wakaenda wakachukua mfereji wa Suez na wakamuweka waziri wao wa fedha kuhakikisha deni linalipwa. Sijui sasa wanaweza fanya nini.
Kwahiyo angeiacha Kagera ichukuliwe sio?Yule Aliacha deni kubwa sana mojawapo ni lile alilokopa kwa ajili ya vita na Uganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize Salaah anavyowaagizia wafanyabiashara mizigo duniani kote, na hakuna hata 100 inayopitia benki kuuSasa utafanyaje biashara na dunia mkuu. Maana leo hii ukitaka kulipia mzigo china tunaomba TT bank kuu kupitia bank yako. na zote zinaombwa federal bank pale New York then ndio mzigo unaenda kwa wenyewe. Sasa bila hiyo unafanyaje jombaa.
Tundu Lissu anaita MIGA, sijui ni kitu gani hicho...
Dawa ya deni ni kulipaHivi ikatokea tukaamua tu tuwaingize mjini haya mabeberu yanatukopesha mamikopo kwa fujo kama ugomvi na tusiwalipe tu, watatufanya nini kwani? Ukiacha kukamata ndege, watafanya nini?
Hivi mtu unakopa trillion 2 kwa ajili ya chanjo feki zilizo expire za Corona.., hivi hilo deni hata lina tija kwanza? Maana yake hatukuwa na haja ya kukopa in the 1st placeDawa ya deni ni kulipa
Nafikiri ungeshauri pamoja na mengine, tujumuishe miradi mikubwa ya kukuza ajira na kuongeza Kodi ili deni lijilipe lenyewe (lisitegemee makusanyo mengine ya ndani)
Mf; kiwanda kama cha matairi, viwanda vya madawa nk
Tutawapa dada zetu wakaolewe, potelea mbaliMtaolewa
Vikwazo hatutakuwa wa kwanza kuwekewaUnawekewa vikwazo kama mdaiwa sugu. Hiyo ndiyo silaha pekee aliyonayo marekani na vibaka wenzake.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mzee HIV wewe unafikiria Salah ndio agent pekee bongo nini. Au unafikiria kabla ya Salah watu walikuwa wanafanyaje. Mtu akishakuzid kikazi njoo na njia mbadala ya kumkabili sio umbea mzee. Watu waliokuwa wanaenda china tangu miaka ya 1999 wanajua umuhim wa hawa waarabu. Wana makando yao ndio Lakin hakuna mfanyabiashara asiyejua umuhim wa hawa jamaa sokon.Muulize Salaah anavyowaagizia wafanyabiashara mizigo duniani kote, na hakuna hata 100 inayopitia benki kuu
Sawa, turudi kwenye mada...Mzee HIV wewe unafikiria Salah ndio agent pekee bongo nini. Au unafikiria kabla ya Salah watu walikuwa wanafanyaje. Mtu akishakuzid kikazi njoo na njia mbadala ya kumkabili sio umbea mzee. Watu waliokuwa wanaenda china tangu miaka ya 1999 wanajua umuhim wa hawa waarabu. Wana makando yao ndio Lakin hakuna mfanyabiashara asiyejua umuhim wa hawa jamaa sokon.