Itatokea nini tukiamua tusilipe deni la Taifa Tsh Trilioni 100?

Itatokea nini tukiamua tusilipe deni la Taifa Tsh Trilioni 100?

magufuri Alitaka kutuvusha hapa mkachomoa kamashine akaded
 
Mzungu aingizwe mjini na akili zinazowaza kama hivi ? Badala uwaze kwa nini mnakopa na mfanye nini ili msiendelee kukopa wewe unawaza kuwaingiza mjini wazungu ambao bila wao Serengeti national park itakuwa ya kufugia ng'ombe au Mlima kilimanjaro utakuwa likichuguu likubwa lisilo na faida.
Usishangae.

Ni zao la mfumo mbovu wa elimu ya CCM.
 
Back
Top Bottom