Mzungu aingizwe mjini na akili zinazowaza kama hivi ? Badala uwaze kwa nini mnakopa na mfanye nini ili msiendelee kukopa wewe unawaza kuwaingiza mjini wazungu ambao bila wao Serengeti national park itakuwa ya kufugia ng'ombe au Mlima kilimanjaro utakuwa likichuguu likubwa lisilo na faida.