Baby kanipigie kura nimegombea udiwani kata ya buswelu.Kwa style hii lazima Chadema washinde mana vijana wengi wana access ya internet na simu ila hao hao hawawezi Kwenda kupanga foleni kupiga kura, Mm mwnyw tangu nmejiandikisha sijawahi na sitokaa nipige kura.
Nishawishi kwa kunipa tunduBaby kanipigie kura nimegombea udiwani kata ya buswelu.
Teknolojia haidanganyi Wala kidanganywaKijani majambawazi ya kura yatapinga kama yanavyopinga uwepo wa katiba mpya.
sasa dunia nzima si ingekua inatumia simu kupiga kura gentleman kuepuka hizo gharama?Hivi wafrika ni lini tutadhamini muda wetu
Kwenye foleni saa kadhaa eti nasubiri nimpigie diwani kura.
Twendeni na technology inavyotaka watu wapige kura wakiwa nyumbani ofisini
Serikali inapoteza fedha nyingi eti kuweka mawakala waandikishe watu wachague wenyeviti!!!!
Hii SI sawa zaidi ya watanzania 30 mls wanamiliki simu za mkononi tuzitumie kuchaguana.
Kampuni za simu ni zao hivyo watazoa kura zote hata na zao watasahau watazizoa.Hivi wafrika ni lini tutadhamini muda wetu
Kwenye foleni saa kadhaa eti nasubiri nimpigie diwani kura.
Twendeni na technology inavyotaka watu wapige kura wakiwa nyumbani ofisini
Serikali inapoteza fedha nyingi eti kuweka mawakala waandikishe watu wachague wenyeviti!!!!
Hii SI sawa zaidi ya watanzania 30 mls wanamiliki simu za mkononi tuzitumie kuchaguana.
Washika tonge hawawezi kukubaliHivi wafrika ni lini tutadhamini muda wetu
Kwenye foleni saa kadhaa eti nasubiri nimpigie diwani kura.
Twendeni na technology inavyotaka watu wapige kura wakiwa nyumbani ofisini
Serikali inapoteza fedha nyingi eti kuweka mawakala waandikishe watu wachague wenyeviti!!!!
Hii SI sawa zaidi ya watanzania 30 mls wanamiliki simu za mkononi tuzitumie kuchaguana.
Hehe watashinda kivipi tena, wakati hii ndo itakua mtelezo kwa CCM .....muulizeni Odinga anajua purukushani za kura za kielektronicKwa style hii lazima Chadema washinde mana vijana wengi wana access ya internet na simu ila hao hao hawawezi Kwenda kupanga foleni kupiga kura, Mm mwnyw tangu nmejiandikisha sijawahi na sitokaa nipige kura.
Ajiraumu sana Mimi kupiga kura yangu 2010 Kisha kikwete akaipora nimeshaapa Kwa mbingu na ardhi sitokaa nipoteze muda wangu.sasa Hivi na utaratibu Huwa naenda kabisa niliko zaliwa najiandikisha huko ambapo Nina uhakika 100% sitaenda kupiga kura pia kuondoa buguza Kwa michawa Huwa nawaambia tu sijajiandikishia huku rafiki yangu nitaenda kijijn kupiga kura .Kwa style hii lazima Chadema washinde mana vijana wengi wana access ya internet na simu ila hao hao hawawezi Kwenda kupanga foleni kupiga kura, Mm mwnyw tangu nmejiandikisha sijawahi na sitokaa nipige kura.
US naona watu wengine wanatumiwa karatasi ya kupiga kura kwa njia ya posta anapiga anairudisha kwa njia hiyo hiyoHivi wafrika ni lini tutadhamini muda wetu
Kwenye foleni saa kadhaa eti nasubiri nimpigie diwani kura.
Twendeni na technology inavyotaka watu wapige kura wakiwa nyumbani ofisini
Serikali inapoteza fedha nyingi eti kuweka mawakala waandikishe watu wachague wenyeviti!!!!
Hii SI sawa zaidi ya watanzania 30 mls wanamiliki simu za mkononi tuzitumie kuchaguana.
Mm kipindi hicho cha uchaguzi ulinikuta nikiwa Mbeya na ndipo nikajiandikisha, sasa hv sina ht mpango wa kwenda huko Mbeya kwahy mambo ya uchaguzi ndio imetoka hvyAjiraumu sana Mimi kupiga kura yangu 2010 Kisha kikwete akaipora nimeshaapa Kwa mbingu na ardhi sitokaa nipoteze muda wangu.sasa Hivi na utaratibu Huwa naenda kabisa niliko zaliwa najiandikisha huko ambapo Nina uhakika 100% sitaenda kupiga kura pia kuondoa buguza Kwa michawa Huwa nawaambia tu sijajiandikishia huku rafiki yangu nitaenda kijijn kupiga kura .