Yaani kama aliefuta fao la kujitoa sijajua kichwani mwake alikuwa anawaza nini? Maana hata dhana ya kujiajiri huanza na kuajiriwa ndio mtu anapata mtajiHabari wana JF ,nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka ....
Kweli kabisaIngependeza pia wakawa wanatoa ushauri kwa wanaopokea hayo mafao ili yasitumike kwenye mambo yasiyo ya msingi. Wengi wakipokea mafao unakuta wanatumbua mpaka mifuko inakuwa meupe. Mtu akipokea mafao anajikuta kaamkia utajiri, anafikiri zitabaki tu hela haziishi. .
Kuna viongozi huwa wanajifikiria wao kwanzaYaani kama aliefuta fao la kujitoa sijajua kichwani mwake alikuwa anawaza nini? Maana hata dhana ya kujiajiri huanza na kuajiriwa ndio mtu anapata mtaji
Tatizo hayo mafao yakishaenda uko huwa wanaona kama ni ya kwao wewe hayakuhusu, sasa ili usichukue kila siku wanayatungia sheria!Habari wana JF ,nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka/...
Tatizo kuna baadhi ya wabunge huwa ni wapiga makofi tu hawafikirii sanaTatizo hayo mafao yakishaenda uko huwa wanaona kama ni ya kwao wewe hayakuhusu, sasa ili usichukue kila siku wanayatungia sheria!!!Embu wewe fikiria kitu kimoja,Viongozi wanaotakiwa kusimamia Haki ndio hao wanaotunga sheria ngumu za kukuzuia wewe kupata haki yako, na kibaya zaidi haki zao wanachukua.
HahahaaaDah.... Labda tuombe ikapitishiwe kwenye Bunge la Somalia. Maana wabunge wetu wamejaa tamaa na choyo......wapo pale bungeni kwa maslahi ya vitambi vyao 🤭
Itasadia wengi...wengine labda wataona baada ya miaka kumi nafanya kitu kingine, hivyo anaachia office, wengine wapate ajira..good idea mkuu.
Hii itapunguza umasikini hivyo wanahofia kupoteza madarakaHabari wana JF,
Nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka?
Sababu....
Kwa hiyo mtaji wa CCM ni Umaskini wetuHii itapunguza umasikini hivyo wanahofia kupoteza madaraka
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kwa bunge lipi? Hili la kina Mtakavangu la kuongelea ngono, nguvu za kiume au wabunge wa kike kunyonywa matiti na wake zao?Habari wana JF,
Nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka?
Sababu:
1. Itakuwa kama motisha kila unapofikisha miaka 10 kazini
2. Itasaidia kupunguza ugumu wa Maisha kidogo, mara kila baada ya miaka 10 kazini unapata booster
3. Sio wote huweza kufika Umri wa Kustaafu.
Wana JF mnaonaje Hili?
Hahahaa hili hiliKwa bunge lipi? Hili la kina Mtakavangu la kuongelea ngono, nguvu za kiume au wabunge wa kike kunyonywa matiti na wake zao?
Au unaleta sarakasi na kilio tu?
Daa wabunge wetu bana ujue kuna vitu vingine huwa wanapitisha vitu bila hata kuvijua kiundaniAsee ingekua poa,tatizo anaetakiwa kulipitisha nimbunge ambaye huyo huyo alizuia fao la kujitoa