Itengenezwe Sheria ya kuruhusu kuweza kuchukua Mafao kila baada ya Miaka 10, itasaidia sana

Itengenezwe Sheria ya kuruhusu kuweza kuchukua Mafao kila baada ya Miaka 10, itasaidia sana

Kwani kazi ya mafao ni nini?
Kwanini kuna mafao kwa watumishi wote baada ya kustaafu?
 
Ingependeza pia wakawa wanatoa ushauri kwa wanaopokea hayo mafao ili yasitumike kwenye mambo yasiyo ya msingi. Wengi wakipokea mafao unakuta wanatumbua mpaka mifuko inakuwa meupe. Mtu akipokea mafao anajikuta kaamkia utajiri, anafikiri zitabaki tu hela haziishi. .
unawaharibia wadangaji chimbo la kupata hela...omba wasikusikie
 
Back
Top Bottom