DingiMbishi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2021
- 449
- 647
ππππWeeeeeee,ulisikia wapi?
How sure utaishi mpaka hiyo 55 yrs ?Kwani kazi ya mafao ni nini?
Kwanini kuna mafao kwa watumishi wote baada ya kustaafu?
Na kusahau wananchiKuna viongozi huwa wanajifikiria wao kwanza
unawaharibia wadangaji chimbo la kupata hela...omba wasikusikieIngependeza pia wakawa wanatoa ushauri kwa wanaopokea hayo mafao ili yasitumike kwenye mambo yasiyo ya msingi. Wengi wakipokea mafao unakuta wanatumbua mpaka mifuko inakuwa meupe. Mtu akipokea mafao anajikuta kaamkia utajiri, anafikiri zitabaki tu hela haziishi. .
ππππunawaharibia wadangaji chimbo la kupata hela...omba wasikusikie
Nini maana ya mafaoHow sure utaishi mpaka hiyo 55 yrs ?
Mi naelewa na wewe hope umeelewa na nna maanisha mafao ya muda mrefuNini maana ya mafao
...Na Roho Mbaya!...[emoji84][emoji84]Kuna viongozi huwa wanajifikiria wao kwanza