Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

Waliofuja fedha za umma watashugulikiwa na nanu, hawa hawa wachafu walioko madarakani kwa wizi wa kura?
 
...wakitema shauri yao!

Susa susa FC.

Wasuse tena waone kama hawajaweka majumba yao vijijino rehani
Unadhani Kila mtu anaishi kwa kutegemea vyeo vya kisiasa? Au kwakuwa ww ni mtumwa wa vyeo vya mbeleko, basi unadhani Kila mmoja ni kama ww? Hakuna mtu atakuwa na muda wa kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Mtumishi Lamomy Mama mchungaji, kipenzi na mpendrwaa wangu wa mwili na Roho, ndrugu zango wanafamilia wa JF, karibuni mezani pangu kwa chakula na kinywaji cha jioni....
Na Mwenyezi Mungu awabariki sana nyote Aimen....

Hadi wakati mwingine baadae kidogo ni Mimi mtumishi na kiongozi wenu myonge nisie stahili kitu mbele zenu na mbele za Mungu.. Tlaatlaah
Asanti sana ...
 
Maendeleo yapi yanaletwa na ccm, hii kukaa gizani na porojo kibao ndio maendeleo?
 
Nimekubali serikali yenu ndioamana mnafanya hayo mnayoyafanya bila uoga wala kificho.
 
Aimen CCM OYEEEE πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndiio chama pekee chenye viongozi wenye kugawana cake ya taifa kwa kutengeneza sheria za kulipana mishahara hadi kwa wenza wakistaafu huku raia wengine hata maji kwao ni shdia.
Ni vile nchi hii watu wengi wamesoma elimu ambayo haijawatoa ujinga wanabaki kufurahia eti kiongozi kapanda roli, sjui kaingia mjini na bodaboda basi wanaona mtu wa watu. CCM hili ndilo inalijua na inalitumia to its advantage. Imewapa elimu watanzania ambayo inawafanya wakose reasoning, wanafurahia simple things huku cake yao ikitafunwa tu na wao wakiona sawa.
 
Unadhani Kila mtu anaishi kwa kutegemea vyeo vya kisiasa? Au kwakuwa ww ni mtumwa wa vyeo vya mbeleko, basi unadhani Kila mmoja ni kama ww? Hakuna mtu atakuwa na muda wa kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Haya Tindo. Mmeaswa, muwe mnafanya Uchaguzi basi.

Si arudi awe CEO wa mabilioni ya pesa zake basi. Mbeleko huo.
Ushajiuliza yale mabango yake ya Uwanjani(simba na yanga) yaliyosema chagueni CHADEMA kwanini yalikuwa na picha ya Mbowe na sio Mzee Bwana Laigwaan Tindu Lissu?
 
CCM ni chama dola
CCM ina hela
CCM haina mpinzani
CCM ina misuli
Daaah hii CCM mbona ina ubavu hivi.
[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Aimen CCM OYEEEE πŸ˜‚πŸ˜‚
Kipenzi changu, mtumishi na Mama mchungaji Lamomy na wapendwa sana wajumbe humu jukwaani kwenye familia ya JF.
Nawashukuru sana kwa engagements zenu katikati mabandndiko yenye mada mbalimbali humu jukwaani kwa leo. Nimefarijika sana, na kwakweli nimenufaika pakubwa. Nimeongeza uelewa na ufahamu kwa kiwango cha juu sana kuhusu mambo mbalimbali humu nchini.,

Kwa wasaa huu naomba nipate pumziko kidogo.

Na hivyo basi nawaombea mapumziko mema usiku huu, Mwenyezi Mungu awalinde na hatimae awaamshe Salama kesho tunapoelekea kwenye kazi na majukumu mbalimbali ya kujipatia riziki tukiwa na Afya njema ya Mwili na Roho...
Nawatakia usiku mwema sana....
 
Hayo mabango wanaccm wanabeba wamewahi kuweka ya Kinana ambaye ni makamu wa mwenyekiti?
 
Nyie tawaleni tu

Ila kura hatupigi

Ova
 
Sio kisiki ama chochote ila jivu la mabuaπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…