Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

subiira yavuta kheri,

Waliobainika kufuja fedha na Mali za umma kupitia report ya CAG wanashughulikiwa kisekta kama ambavyo sote tumeshuhudia tayari maafisa kadhaa wamesimamishwa kazi, wengine kutiwa nguvuni kupisha uchunguzi....

Hata hivyo huo ni mwanzo tu kazi kubwa bado inaendelea na kwa wakati muafaka umma utajulishwa....

Bado subra na ustahimilivu ni jambo muhimu sana kwenye mambo haya yasiyo hitaji pupa wala papara, bali umakini na umahiri wa bila kumuonea wala kumuumiza asie husika ...
Waliofuja fedha za umma watashugulikiwa na nanu, hawa hawa wachafu walioko madarakani kwa wizi wa kura?
 
...wakitema shauri yao!

Susa susa FC.

Wasuse tena waone kama hawajaweka majumba yao vijijino rehani
Unadhani Kila mtu anaishi kwa kutegemea vyeo vya kisiasa? Au kwakuwa ww ni mtumwa wa vyeo vya mbeleko, basi unadhani Kila mmoja ni kama ww? Hakuna mtu atakuwa na muda wa kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Mtumishi Lamomy Mama mchungaji, kipenzi na mpendrwaa wangu wa mwili na Roho, ndrugu zango wanafamilia wa JF, karibuni mezani pangu kwa chakula na kinywaji cha jioni....
Na Mwenyezi Mungu awabariki sana nyote Aimen....

Hadi wakati mwingine baadae kidogo ni Mimi mtumishi na kiongozi wenu myonge nisie stahili kitu mbele zenu na mbele za Mungu.. Tlaatlaah
Asanti sana ...
 
Basi sawa mkuu mkishika dola bila kushiriki uchaguzi mtarekebisha kupitia hiyo serikali mtakayoiunda,

lakini CCM itashughulika na maswala ya kasoro za chaguzi na Maendeleo ya wananchi kwa jitihada zote bila kupepesa macho, kuona aibu wala kubabaika na kelele za wachache wasioridhika na kasi kubwa za kimaendeleo zinazopigwa chini ya kiongozi wetu mahiri Dr SSH ..
Maendeleo yapi yanaletwa na ccm, hii kukaa gizani na porojo kibao ndio maendeleo?
 
Shalom Mama mchungaji, umenikosha 😂
Kumbe humu nako uko vizurieee...
Mungu akubariki sana mtumishi ninae kukubali na kukupenda kwa Neema na Baraka za Mungu....

Mama mchungaji,
Napenda kukujulisha kwamba serikali iliyopo Madarakani ni serikali ya CCM!
Hilo la mwanzo kabisa ningependa ulifahamu.

Jambo la pili,
Kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura, CCM imeaminiwa na kupewa dhamana ya kuongoza dola yaani vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini ya serikali ya chama cha Mapinduzi, kama ambavyo ikitokea ingawa inafahamika haitawezekana kutokea chama pinzani kushika dola then vyombo vyote vya ulinzi na usalama vitakua chini ya usimamizi wa chama hicho.

Jambo la tatu na la mwisho,
Madhaifu na kasoro za kwenye chaguzi ni jambo la kawaida, hapajawahi kutokea uchaguzi kamilifu duniani. Tayari serikali imekubali baada ya elimu ya katiba kutolewa nchini kote,
Mchakato wa katiba mpya utaanza na tunahakika utatatua changamoto izo za uchaguzi kuanzia mapema 2026.

Kwahiyo tuwe tu na Subra kidogo ee mtumishi....
Nimekubali serikali yenu ndioamana mnafanya hayo mnayoyafanya bila uoga wala kificho.
 
Mtumishi Lamomy Mama mchungaji, kipenzi na mpendrwaa wangu wa mwili na Roho, ndrugu zango wanafamilia wa JF, karibuni mezani pangu kwa chakula na kinywaji cha jioni....
Na Mwenyezi Mungu awabariki sana nyote Aimen....

Hadi wakati mwingine baadae kidogo ni Mimi mtumishi na kiongozi wenu myonge nisie stahili kitu mbele zenu na mbele za Mungu.. Tlaatlaah
Asanti sana ...
Aimen CCM OYEEEE 😂😂
 
Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.

Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.

Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.

Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.

Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.

Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu chama cha Mapinduzi.
Ndiio chama pekee chenye viongozi wenye kugawana cake ya taifa kwa kutengeneza sheria za kulipana mishahara hadi kwa wenza wakistaafu huku raia wengine hata maji kwao ni shdia.
Ni vile nchi hii watu wengi wamesoma elimu ambayo haijawatoa ujinga wanabaki kufurahia eti kiongozi kapanda roli, sjui kaingia mjini na bodaboda basi wanaona mtu wa watu. CCM hili ndilo inalijua na inalitumia to its advantage. Imewapa elimu watanzania ambayo inawafanya wakose reasoning, wanafurahia simple things huku cake yao ikitafunwa tu na wao wakiona sawa.
 
Unadhani Kila mtu anaishi kwa kutegemea vyeo vya kisiasa? Au kwakuwa ww ni mtumwa wa vyeo vya mbeleko, basi unadhani Kila mmoja ni kama ww? Hakuna mtu atakuwa na muda wa kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Haya Tindo. Mmeaswa, muwe mnafanya Uchaguzi basi.

Si arudi awe CEO wa mabilioni ya pesa zake basi. Mbeleko huo.
Ushajiuliza yale mabango yake ya Uwanjani(simba na yanga) yaliyosema chagueni CHADEMA kwanini yalikuwa na picha ya Mbowe na sio Mzee Bwana Laigwaan Tindu Lissu?
 
CCM ni chama dola
CCM ina hela
CCM haina mpinzani
CCM ina misuli
Daaah hii CCM mbona ina ubavu hivi.
[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Aimen CCM OYEEEE 😂😂
Kipenzi changu, mtumishi na Mama mchungaji Lamomy na wapendwa sana wajumbe humu jukwaani kwenye familia ya JF.
Nawashukuru sana kwa engagements zenu katikati mabandndiko yenye mada mbalimbali humu jukwaani kwa leo. Nimefarijika sana, na kwakweli nimenufaika pakubwa. Nimeongeza uelewa na ufahamu kwa kiwango cha juu sana kuhusu mambo mbalimbali humu nchini.,

Kwa wasaa huu naomba nipate pumziko kidogo.

Na hivyo basi nawaombea mapumziko mema usiku huu, Mwenyezi Mungu awalinde na hatimae awaamshe Salama kesho tunapoelekea kwenye kazi na majukumu mbalimbali ya kujipatia riziki tukiwa na Afya njema ya Mwili na Roho...
Nawatakia usiku mwema sana....
 
Haya Tindo. Mmeaswa, muwe mnafanya Uchaguzi basi.

Si arudi awe CEO wa mabilioni ya pesa zake basi. Mbeleko huo.
Ushajiuliza yale mabango yake ya Uwanjani(simba na yanga) yaliyosema chagueni CHADEMA kwanini yalikuwa na picha ya Mbowe na sio Mzee Bwana Laigwaan Tindu Lissu?
Hayo mabango wanaccm wanabeba wamewahi kuweka ya Kinana ambaye ni makamu wa mwenyekiti?
 
Basi sawa mkuu mkishika dola bila kushiriki uchaguzi mtarekebisha kupitia hiyo serikali mtakayoiunda,

lakini CCM itashughulika na maswala ya kasoro za chaguzi na Maendeleo ya wananchi kwa jitihada zote bila kupepesa macho, kuona aibu wala kubabaika na kelele za wachache wasioridhika na kasi kubwa za kimaendeleo zinazopigwa chini ya kiongozi wetu mahiri Dr SSH ..
Nyie tawaleni tu

Ila kura hatupigi

Ova
 
Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.

Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.

Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.

Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.

Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.

Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu chama cha Mapinduzi.
Sio kisiki ama chochote ila jivu la mabua🤪
 
Back
Top Bottom