Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.

Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.

Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.

Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.

Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.

Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu chama cha Mapinduzi.
Ccm sio chama Cha siasa, Bali ni kikundi Cha Dola kilichojivika koti la chama Cha siasa. Na uwepo wake madarakani ni kwa sababu ya katiba mbovu na ukondoo wa wananchi. Siku ukondoo ukiwatoka wananchi ccm itaingia kaburi Moja na KANU ya Kenya.
 
Nchi ipo kwenye maandalizi Muhimu sana matatu kwa sasa,

1.maboresho daftari la kudumu la wapiga kura,

2.uchaguzi wa serikali za mtaa 2024

3.uchaguzi mkuu 2025...
Mambo yote haya yanahitaji muda wa kutosha, fedha za kutosha na umakini mkubwa.....
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Watu wajinga tu au wanaofadika na hizi chaguzi za kihayawani ndio watakuwa na muda wa kujitokeza kupiga kura.
 
Gentleman,
Kazi inaendelea, maagizo ya Mkuu wa mkoa yanatekelezwa kwa bidii sana usiku na mchana na mh.Rais Dr.SSH haachi kumuuliza Mkuu wa mkoa na waziri mwenye dhamana kila siku kuhusu status jambo hilo.

Na kwa muda usiokua mrefu mabasi yale yataingia barabarani kutoa huduma.
Pamoja na hayo, yapo mabasi mengine mapya ya kutosha yanakuja kutokana na kupanuka kwa mradi huu katika maeneo mbalimbali jijini dar es salaam na majiji mengine nchini.

Muhimu zaidi ni kuona uwezekano wa kuhusisha wabia wengine wa usafirishaji kutoa huduma ili kuboresha na kurahisisha huduma hizo na kuondoa kero wanazokumbana nazo watumiaji wa mabasi hayo..

Nitoe pole kwa usumbufu wanaoupata abiria wote wanaotumua huduma za mradi huu na nitoe wito wa subra na ustahimilivu wakati serikali inashughulikia jambo hilo..
Subira hadi lini? Watu washindwe kuwahi kazini wasubiri ahadi hewa za miaka nenda rudi?

Miaka 62 sasa uchaguzi ukifika mnawapelekea fulana, kofia na vitenge.

Kazi gani inaendelea? Au ruhusa ya kula kwa urefu wa kamba?

Ripoti ya CAG majizi yametia nchi hasara yanahamishwa ofisi wanaofungwa ni watu wenye kesi za nyama za swala .

Kula kwa urefu wa kamba ndio kazi iliyopo , mbadilishe sasa mseme na kula kwa kamba kuendelee ndio kazi yenyewe.
 
Ccm sio chama Cha siasa, Bali ni kikundi Cha Dola kilichojivika koti la chama Cha siasa. Na uwepo wake madarakani ni kwa sababu ya katiba mbovu na ukondoo wa wananchi. Siku ukondoo ukiwatoka wananchi ccm itaingia kaburi Moja na KANU ya Kenya.
umekula Kweli mchana 😂
Yes CCM ni Chama dola alaaa,

sasa wew ulidhani ni nini 😅

lakini pia sio ungwana kuwabeza wananchi na kuwaita makondoo ambao baadae na kachama kenu ka fujo na maandamano haramu mnaenda kuwaomba kura tena, really?

Hivi nyinyi mmefundishwa kutukana tu wapinzani wenu na wananchi hamkufundishwa siasa ?
Ukishindwa uchaguzi unakwenda back kwenye drawing table kujipanga na uchaguzi mwingine.....

Kubeza wananchi ni kujiandaa kushindwa vibaya uchaguzi zinazokuja....

Suala la katika mpya ni dhahiri litafanyiwa kazi baada ya uchaguzi mkuu 2025. Maana yake litaanza kufanyiwa kazi mapema 2026.....
 
Sawa majeshi yote yenu, watu wakidai katiba mpya mnawaletea wanajeshi wafanye usafi maana waandamanaji ni takataka.
NEC ipo chini yenu kwenye uchaguzi mnapita bila kupingwa, kifupi mmetuona nyani 😂

NB; Weka namba km kaka Luka na Pasko nipo Mokane nakusubiri
 
Subira hadi lini?

Miaka 62 sasa uchaguzi ukifika mnawapelekea fulana, kofia na vitenge.

Kazi gani inaendelea? Au ruhusa ya kula kwa urefu wa kamba?

Ripoti ya CAG majizi yametia nchi hasara yanahamishwa ofisi wanaofungwa ni watu wenye kesi za nyama za swala .

Kula kwa urefu wa kamba ndio kazi iliyopo , mbadilishe sasa mseme na kula kwa kamba kuendelee ndio kazi yenyewe.
View attachment 2814697
subiira yavuta kheri,

Waliobainika kufuja fedha na Mali za umma kupitia report ya CAG wanashughulikiwa kisekta kama ambavyo sote tumeshuhudia tayari maafisa kadhaa wamesimamishwa kazi, wengine kutiwa nguvuni kupisha uchunguzi....

Hata hivyo huo ni mwanzo tu kazi kubwa bado inaendelea na kwa wakati muafaka umma utajulishwa....

Bado subra na ustahimilivu ni jambo muhimu sana kwenye mambo haya yasiyo hitaji pupa wala papara, bali umakini na umahiri wa bila kumuonea wala kumuumiza asie husika ...
 
No hate No fear
😂😂😂😂😂...hatred ya CHADEMA mtandaoni imepita hatred.

They do not practise what they preach. Ati No hate no fear! Loh

Kwanza kutwa JF wanaleta matamshi ya kuendekeza hofu, Makonda this Makonda that, wanatafuta kila aina ya njia kudai uchaguzi una kasoro kiasi cha kuitwa maigizo! Hopeless kabisa Hizo ni fear tactics lol

Pili, ndio vinara wa chuki, kiasi wakisikia Neno Chatu, sio Chato, wanakurupuka kusema 'Wasukuma hao' toka lini nyoka aina ya Chatu akawa msukuma! kam sio chuki na watu wa Chato ni nini?

These Piipoz! 😌
 
Hakuna chochote mtakachowafanyia wezi hao maana wizi unaanzia juu huko kwa huyo mama.
 
mnajitekenya na kucheka wenyewe
 
umekula Kweli mchana 😂
Yes CCM ni Chama dola alaaa,

sasa wew ulidhani ni nini 😅

lakini pia sio ungwana kuwabeza wananchi na kuwaita makondoo ambao baadae na kachama kenu ka fujo na maandamano haramu mnaenda kuwaomba kura tena, really?

Hivi nyinyi mmefundishwa kutukana tu wapinzani wenu na wananchi hamkufundishwa siasa ?
Ukishindwa uchaguzi unakwenda back kwenye drawing table kujipanga na uchaguzi mwingine.....

Kubeza wananchi ni kujiandaa kushindwa vibaya uchaguzi zinazokuja....

Suala la katika mpya ni dhahiri litafanyiwa kazi baada ya uchaguzi mkuu 2025. Maana yake litaanza kufanyiwa kazi mapema 2026.....
Narudia tena, wananchi wa nchi hii ni makondoona hakuna tusi lolote hapo. Tukishindwa kwenye uchaguzi, kwani Kuna uchaguzi au upuuzi katika box la kura?

Hamna katiba ya kweli inapatikana kwa kusimamiwa na chama kinachofaidika na katiba mbovu. Watu wajinga tu ndio wataendelea kushiriki chaguzi hizi Cha kishenzi.
 
...wakitema shauri yao!

Susa susa FC.

Wasuse tena waone kama hawajaweka majumba yao vijijino rehani
 
Sawa majeshi yote yenu, watu wakidai katiba mpya mnawaletea wanajeshi wafanye usafi maana waandamanaji ni takataka.
NEC ipo chini yenu kwenye uchaguzi mnapita bila kupingwa, kifupi mmetuona nyani 😂

NB; Weka namba km kaka Luka na Pasko nipo Mokane nakusubiri
Shalom Mama mchungaji, umenikosha 😂
Kumbe humu nako uko vizurieee...
Mungu akubariki sana mtumishi ninae kukubali na kukupenda kwa Neema na Baraka za Mungu....

Mama mchungaji,
Napenda kukujulisha kwamba serikali iliyopo Madarakani ni serikali ya CCM!
Hilo la mwanzo kabisa ningependa ulifahamu.

Jambo la pili,
Kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura, CCM imeaminiwa na kupewa dhamana ya kuongoza dola yaani vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini ya serikali ya chama cha Mapinduzi, kama ambavyo ikitokea ingawa inafahamika haitawezekana kutokea chama pinzani kushika dola then vyombo vyote vya ulinzi na usalama vitakua chini ya usimamizi wa chama hicho.

Jambo la tatu na la mwisho,
Madhaifu na kasoro za kwenye chaguzi ni jambo la kawaida, hapajawahi kutokea uchaguzi kamilifu duniani. Tayari serikali imekubali baada ya elimu ya katiba kutolewa nchini kote,
Mchakato wa katiba mpya utaanza na tunahakika utatatua changamoto izo za uchaguzi kuanzia mapema 2026.

Kwahiyo tuwe tu na Subra kidogo ee mtumishi....
 
..iko hivi.

..VIPAJI na HAMASA viko Upinzani.

..FEDHA na RASILIMALI biko Ccm.

..mtu akitoka Ccm kwenda upinzani ameshindwa kwasababu ya kubebwa na mfumo.

..sijawahi kuona mpinzani aliyehamia Ccm akashindwa ktk sanduku la kura kwasababu wapinzani wana vipaji na hamasa ya siasa.

..hata mijadala ya bungeni inadhihirisha kwamba wapinzani wako more talented na committed kuliko wenzao wa Ccm.
 
Narudia tena, wananchi wa nchi hii ni makondoona hakuna tusi lolote hapo. Tukishindwa kwenye uchaguzi, kwani Kuna uchaguzi au upuuzi katika box la kura?

Hamna katiba ya kweli inapatikana kwa kusimamiwa na chama kinachofaidika na katiba mbovu. Watu wajinga tu ndio wataendelea kushiriki chaguzi hizi Cha kishenzi.
Basi sawa mkuu mkishika dola bila kushiriki uchaguzi mtarekebisha kupitia hiyo serikali mtakayoiunda,

lakini CCM itashughulika na maswala ya kasoro za chaguzi na Maendeleo ya wananchi kwa jitihada zote bila kupepesa macho, kuona aibu wala kubabaika na kelele za wachache wasioridhika na kasi kubwa za kimaendeleo zinazopigwa chini ya kiongozi wetu mahiri Dr SSH ..
 
usipotoshe wanafamilia wa JF , jambo hili ni muhimu na nyeti mno kwa maslahi mapana ya Nchi. Umakini na umahiri mkubwa unahitajika katika jambo hili kuepuka kumchafua, kumdhalilisha, kumuumiza au kumuonea mtu yeyote...

Back
Top Bottom