Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli

Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema

Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristo
ED1AD79F-FCCF-4700-B424-1FDCAE7274FB.jpeg
 
Attachments

  • 459BA912-E965-4886-83CE-AD506112A6CD.jpeg
    459BA912-E965-4886-83CE-AD506112A6CD.jpeg
    97.6 KB · Views: 4
Udini upo sana, ila ni kwasababu wakristo hasa wakatoliki ambao ndio wenye ukristo wanaojua maana ya kwaresma wamezubaa tu hatupo strong, ila wenzetu japo hawafungi ile kutoka moyoni kabisa na hawabadiliki matendo wala nini ndio wanaojua promo, ukimgusa kidogo anasingizia ramadan, sisi tupotupo tu.
 
Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli

Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema

Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
Hebu lete mchoro kama huo,unaohusu kwaresma.Halafu si mnasema mwafanya ibada kiroho sio kimwili,sasa vipi upewe pongezi za kimwili?.Waislamu wanafanya ibada kiroho na kimwili,ndio ukaona wanapewa pongezi kimwili na kiroho.
 
Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli

Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema

Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
Nenda kwenye Page ya Manchester United kule insta kaniletee picha ya kwa Resma.
Nipo hapa nakusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udini upo sana, ila ni kwasababu wakristo hasa wakatoliki ambao ndio wenye ukristo wanaojua maana ya kwaresma wamezubaa tu hatupo strong, ila wenzetu japo hawafungi ile kutoka moyoni kabisa na hawabadiliki matendo wala nini ndio wanaojua promo, ukimgusa kidogo anasingizia ramadan, sisi tupotupo tu.
Kwa hiyo nyie ndio mnafunga sana?
[emoji16][emoji16][emoji16]

Ishu ni kwamba anaepokea funga sio sisi ni Mwenyezi mungu kama nyie mnaona mnafunga sana na nahisi unahisi kama vile ni adhabu basi kalalamike kwa aliekuambia ufunge sana kama huwezi ungana na waislam tunao funga kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaa nini kama wasemaji wao tu ni wa dini hiyo? Lazima wajitoe ufahamu wadhani club hizo zimejaa wenyewe tu wa dini hiyo. Haya mambo ya dini yameanza kushamiri sana kwenye mambo ya umma tofauti na miaka ya nyuma ilikuwa ni upuuzi kuonesha vimelea vya dini fulani kwenye ofisi au vyombo vya umma vya nchi ambayo inajinasibu haiongozwi kwa misingi ya dini. Siku hizi unakuta vyombo vya habari vya umma vimejazwa vipindi vyenye maudhui ya dini fulani kutamalaki kana kwamba tayari nchi ni ya dini hiyo
 
Udini upo sana, ila ni kwasababu wakristo hasa wakatoliki ambao ndio wenye ukristo wanaojua maana ya kwaresma wamezubaa tu hatupo strong, ila wenzetu japo hawafungi ile kutoka moyoni kabisa na hawabadiliki matendo wala nini ndio wanaojua promo, ukimgusa kidogo anasingizia ramadan, sisi tupotupo tu.
Wewe kua strong unakutafsiri vipi, na kumbuka mfumo wa mfungo wa waislam na wakristo ni tofauti.
Wapo wakristo wanaofunga ten bila ubabaishaji wala posts status, na mfungo wa kikristo sio lazima ufungue kwa pishi zito, mfungo wa kikristo hauna daku na ni siku 40..nk

Ndio maana sio popular sana kwasababu ya ugumu wake.
 
Huu wa matangazo vipi? 🤣
 
Back
Top Bottom