Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Vya kazi gani ndugu,siye funga yetu anaijua aliyejuu 🙏hatuhitaj kupiga mbiu ili kuomba futari 😅😅
Udini upo sana, ila ni kwasababu wakristo hasa wakatoliki ambao ndio wenye ukristo wanaojua maana ya kwaresma wamezubaa tu hatupo strong, ila wenzetu japo hawafungi ile kutoka moyoni kabisa na hawabadiliki matendo wala nini ndio wanaojua promo, ukimgusa kidogo anasingizia ramadan, sisi tupotupo tu.