Hebu lete mchoro kama huo,unaohusu kwaresma.Halafu si mnasema mwafanya ibada kiroho sio kimwili,sasa vipi upewe pongezi za kimwili?.Waislamu wanafanya ibada kiroho na kimwili,ndio ukaona wanapewa pongezi kimwili na kiroho.Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli
Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema
Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
Nenda kwenye Page ya Manchester United kule insta kaniletee picha ya kwa Resma.Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli
Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema
Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
Kwa hiyo nyie ndio mnafunga sana?Udini upo sana, ila ni kwasababu wakristo hasa wakatoliki ambao ndio wenye ukristo wanaojua maana ya kwaresma wamezubaa tu hatupo strong, ila wenzetu japo hawafungi ile kutoka moyoni kabisa na hawabadiliki matendo wala nini ndio wanaojua promo, ukimgusa kidogo anasingizia ramadan, sisi tupotupo tu.
Hivi cheo cha Yesu ni kipi?Tulia ujibu.Hii sidhani kwamba kwa namna yoyote inamvua Yesu cheo chake.
Akikujibu nitagWe tangu kwarezma imeanza,umefunga Mara ngapi!?
Wewe kua strong unakutafsiri vipi, na kumbuka mfumo wa mfungo wa waislam na wakristo ni tofauti.Udini upo sana, ila ni kwasababu wakristo hasa wakatoliki ambao ndio wenye ukristo wanaojua maana ya kwaresma wamezubaa tu hatupo strong, ila wenzetu japo hawafungi ile kutoka moyoni kabisa na hawabadiliki matendo wala nini ndio wanaojua promo, ukimgusa kidogo anasingizia ramadan, sisi tupotupo tu.
Huu wa matangazo vipi? 🤣Wewe kua strong unakutafsiri vipi, na kumbuka mfumo wa mfungo wa waislam na wakristo ni tofauti.
Wapo wakristo wanaofunga ten bila ubabaishaji wala posts status, na mfungo wa kikristo sio lazima ufungue kwa pishi zito, mfungo wa kikristo hauna daku na ni siku 40..nk
Ndio maana sio popular sana kwasababu ya ugumu wake.
hatufanani nao kila jamboNenda kwenye Page ya Manchester United kule insta kaniletee picha ya kwa Resma.
Nipo hapa nakusubiri
Sent using Jamii Forums mobile app