Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Udini upo sana, ila ni kwasababu wakristo hasa wakatoliki ambao ndio wenye ukristo wanaojua maana ya kwaresma wamezubaa tu hatupo strong, ila wenzetu japo hawafungi ile kutoka moyoni kabisa na hawabadiliki matendo wala nini ndio wanaojua promo, ukimgusa kidogo anasingizia ramadan, sisi tupotupo tu.
Kwarezima ndo ktu gani?
Umeulizwa huku Chelsea dini ganiHaya mambo yakifumbiwa macho yatazoeleka na kuonekana ni ya kawaida na kuenea katika sekta zote za umma kana kwamba nchi ni ya kiislam. Upuuzi huu ulikemewa sana miaka ya nyuma hakukuwa na unasibishaji wa dini yoyote katika mambo ya umma. Sasa hivi watu hawana aibu wanashirikisha wenzao katika ibada zao mahali pasipo pake. Mara walishe watu futari, mara chinja isiyoeleweka malengo yake ni nini, ili mradi tu watu wote washirikishwe ibada zao kinamna bila kutumia nguvu. Haya mambo ya dini yalibaki hukohuko wanakoabudia, walipeana salamu zao hukohuko wanakokutania. Ofisi za umma kujazwa ibada za dini fulani huko ni kupotoka na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa uliojengwa tangu awali na wasisi wa taifa hili
Si tulikubaliana kuwa sisi hatuna mambo ya kulalamika na hiyo ni comupleksi inferiority ?Unashangaa nini kama wasemaji wao tu ni wa dini hiyo? Lazima wajitoe ufahamu wadhani club hizo zimejaa wenyewe tu wa dini hiyo. Haya mambo ya dini yameanza kushamiri sana kwenye mambo ya umma tofauti na miaka ya nyuma ilikuwa ni upuuzi kuonesha vimelea vya dini fulani kwenye ofisi au vyombo vya umma vya nchi ambayo inajinasibu haiongozwi kwa misingi ya dini. Siku hizi unakuta vyombo vya habari vya umma vimejazwa vipindi vyenye maudhui ya dini fulani kutamalaki kana kwamba tayari nchi ni ya dini hiyo
Itoshe kusema mtoa mada ni mchache wa kufuatilia mamboNajua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli
Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema
Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
Wakikujibu na hili nitag najua wataassume hawajaiona..Hata haya matimu ya ulaya nayo yana udini saana hayakupost kwaresma ila yamepost Ramadhani.View attachment 2562829View attachment 2562831View attachment 2562832
We inaonekana mitihani ulikuwa unafeli hatari..!!! Unaulizwa hiki unajibu kile..!!We tangu kwarezma imeanza,umefunga Mara ngapi!?
Kuwaza chakula utakula saa ngapi kwa muda wa siku 30 🤣. Kupanga maakuli kila jua likizama huku roho yako ikiwa nyeusi kama kawaida. Yani ni fursa ya kulakula hovyo baada ya jua kuzama. Focus ni kula. Sio mabadiliko ya kiroho, kula.Kwarezima ndo ktu gani?
Barcelona na Psg umewasahau au hauwajaona walivyopost Ramadhan Mubarak mbona una udini sana ?Hata haya matimu ya ulaya nayo yana udini saana hayakupost kwaresma ila yamepost Ramadhani.View attachment 2562829View attachment 2562831View attachment 2562832
Hahahah umeuaaa 😅mpatie uji wa pilipili manga yule pale bakuli lijae 😅😅Kuwaza chakula utakula saa ngapi kwa muda wa siku 30 🤣. Kupanga maakuli kila jua likizama huku roho yako ikiwa nyeusi kama kawaida. Yani ni fursa ya kulakula hovyo baada ya jua kuzama. Focus ni kula. Sio mabadiliko ya kiroho, kula.
Lkn nyiny kwann wawatakie kwaresma wkt kila siku mnajigamba hapa kwamba kwaresma yenu hatakiw mtu ajue kama mnafunga, wala hamtakiw kua maonesho.Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli
Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema
Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
UISLAM NDIO DINI YA MAISHA YA MWANADAM KWENGINE NI USANI NII TU WA KINA ZUMARIDISasa achana na yanga na Simba mimi nafatilia EPL,Laliga kipindi kwaresma inaanza hawakupost chochote ila Leo na jana Klabu zote Man U,city,Madrid n.k wotee wamepost Ramadan kareem JE NA WAO NI WADINI??
Tuwe wakweli, wachezaji wengi ni waislam hata wafadhili wa mpira ni waislam!Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli
Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema
Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
@LOTH HEMA unateseka ukiwa wapi??? Huna kumbukumbu au hutumii smartphoneHaya mambo yakifumbiwa macho yatazoeleka na kuonekana ni ya kawaida na kuenea katika sekta zote za umma kana kwamba nchi ni ya kiislam. Upuuzi huu ulikemewa sana miaka ya nyuma hakukuwa na unasibishaji wa dini yoyote katika mambo ya umma. Sasa hivi watu hawana aibu wanashirikisha wenzao katika ibada zao mahali pasipo pake. Mara walishe watu futari, mara chinja isiyoeleweka malengo yake ni nini, ili mradi tu watu wote washirikishwe ibada zao kinamna bila kutumia nguvu. Haya mambo ya dini yalibaki hukohuko wanakoabudia, walipeana salamu zao hukohuko wanakokutania. Ofisi za umma kujazwa ibada za dini fulani huko ni kupotoka na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa uliojengwa tangu awali na wasisi wa taifa hili