mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Yaani ina historia kubwa sana ya dunia hii. Ooh Rome!Sasa haujui Roman Empire ndo ngome yenye nguvu tokea hata Yesu hajazaliwa.
100%! Rumi ni kama maji marefu yaliyotulia. Wana siri karibu zote za dunia hii, na ni dola ya karne na karne hata kabla ya Yesu.Walikuwa juu zaidi kuliko haa umoja wa Kisovieti lakini kwa vile wanaelewana na magharibi hawatibuani. ila ni zaidi ya Hatari.
Apumzike kwa amani warumiWarumi! Warumi! Warumi! Ni watu waerevu, wajanja na wenye akili sana.
Dunia yote ipo mikononi mwa Roma. Barabara zote duniani zinaelekea Roma.
Wana siri nyingi na nzito kweli kweli. Wanapigwa vita na makanisa ya kiprotestanti kupitia kanisa lao Katoliki ila huwakuti kujitetea wala kujibu chochote.
Wanajua wanachofanya! Hawabahatishi.
Daaah! Rumi?
"barabara zote duniani zinaelekea roma" kivipi?Warumi! Warumi! Warumi! Ni watu waerevu, wajanja na wenye akili sana.
Dunia yote ipo mikononi mwa Roma. Barabara zote duniani zinaelekea Roma.
Wana siri nyingi na nzito kweli kweli. Wanapigwa vita na makanisa ya kiprotestanti kupitia kanisa lao Katoliki ila huwakuti kujitetea wala kujibu chochote.
Wanajua wanachofanya! Hawabahatishi.
Daaah! Rumi?
Why Rome?The most dominant empire of all time
Why? Why Rome? Whats behind?Hiyo civilization ninaifuatilia sana, kimsingi imetawala dunia kwa miongo mingi sana
Unaongelea dola la kikristo la kirumi au kanisa katoliki?
ItUnazungumzia warumi wapi(romans) hawa catholics au??
Barbara kubwa zote unazozijua ww zimeelekea huko."barabara zote duniani zinaelekea roma" kivipi?