Itoshe kusema Warumi ni watu wenye akili sana!

We mambo ya kiroho unayajua au ndo kukurupuka tu...... Unazijua siri za Mungu na Dunia ww
Em usiongee vitu usivyokuwa na elim navyo, unatuchefua wenye ufaham na mambo hayo
Asante kwa comment
 
Hawa wanaosema wanaume waowane wenyewe au kuna wengine mkuuu.
 
Mbona kuna barabara inaelekea home kwetu tu.....au hiyo Rome ni invisible????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…