zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Sawa mkuuSawa mkuu shukrani sana mungu akubariki ngoja tuchague moja hapo
Colin mean Young Creature
Desmond mean man from South Munster
Carson mean son of the marsh-dwellers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuSawa mkuu shukrani sana mungu akubariki ngoja tuchague moja hapo
Hongera mkuu ,mungu amuongoze katika mapito yake .Habar wana jf
Tunamshukuru mungu anaendelea kutupigania
Finally usiki wa kuamkia leo wife amejifungia na tumepata mtoto wakiume na wote wakosalama mama na mtoto tunashukuru mungu View attachment 2617780
Kwa heshima yenu pia wote nawapa nafasi ya kumchagulia jina ambalo atapewa na pia naimani ntamlea katika misingi ya ki JF nabaada ya miaka kadhaa nitahakikisha anakuja kuwa member wa JamiiForums Asanteni karibuni wote
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa misingi ya kijf mpe fake name.
hongera kwenu kwa kupata mtoto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au litutumbwe [emoji23]
Nadhani ni muda muafaka sasa na wewe upate ubavu uanze kutema mate na kula embe mbichi.Hongereni sana wazazi, i send my hugs to a new born,
Muiteni STAR.