It’s a Boy

It’s a Boy

Habar wana jf
Tunamshukuru mungu anaendelea kutupigania
Finally usiki wa kuamkia leo wife amejifungia na tumepata mtoto wakiume na wote wakosalama mama na mtoto tunashukuru mungu View attachment 2617780
Kwa heshima yenu pia wote nawapa nafasi ya kumchagulia jina ambalo atapewa na pia naimani ntamlea katika misingi ya ki JF nabaada ya miaka kadhaa nitahakikisha anakuja kuwa member wa JamiiForums Asanteni karibuni wote
Hongera mkuu ,mungu amuongoze katika mapito yake .
 
Hongera sana mkuu

Muite Jonathan maana yake ni Gift of God/God has given
 
Mimi namchagulia jina lake aitwe Who... Baba ake ww si unaitwa Knows

Kwaiyo mtoto ataitwa Who knows.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah umenifanya nicheke kwanguvu
 
Back
Top Bottom