It’s already wikend huh....

It’s already wikend huh....

Bora wewe unajiandaa kulala .Niko kitandani na Dera langu hapa😀! Naskiza mahubiri😆
Hivi ukizeeka, huruhusiwi Tena kuvaa nightdress?
Maana wazee wana vituko, mwingine usiku ukiingia ndio huwa muda wake wa kuvaa kaniko nyeusi , mwingine huvaa Ngozi ya fisi, mwingine hujifunga mavitambaa mekundu... Shida ni Nini jamani wazee wenzangu?
 
🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Enzi zangu nakumbukia nilikua nalala na kabukta...juu katop Fulani...khaaa umri na majukumu yanavonisonga najikuta nalala na manguo kma naenda msibani...au maiti kbs!yaani uzee ni janga ...enzi Hizo unaskiza Nigerian songs huku unakaanga tumayai umpe mume Sasa hivi ni radio ya dini 24/7 ukisikia mahubiri unaongeza sauti kbs..na nyimbo za kurudi kwa Yesu full kutishwa🤸🤸🤸🤧🤧!
Kaniki ntaanza soon kuvaa😀😀
 
Back
Top Bottom