Its Confirmed: Mourinho will be MAN UTD Manager

Nashàuri afanye mikutano mikubwa ya kikanda...aachane na mikutano midogomidogo,apige dar,arusha,mwanza,dodoma,kila mkutano uwe na ajenda kuu.
..na irushwe ITV ili wale ambao hawajafika waweze kuona...
Masuala ya
 
Lowasa twende kazi baba, watu tunataka matumaini. Hii cd ya majipu inascratch.
 
Akifika mkutanoni swali la kwanza....mmekunywa chaiiiiii ndugu wananchiiiiiiii
 
Mwaka 2018.....wananchi mmeshaona hata kiwanda kimojaaaaaa......
 
Nimeikumbuka ile hadithi ya mlinzi wa kimakonde,ukikimbia nchale na ukisimama nchale sasa sijui utafanyaje
 
CCM na UVCCM matumbo joto, kama miezi miwili tu aliwawezesha ukawa kupata ushindi mkubwa sasa wakati huu akianza mapema itakuwaje
 
Na akimaliza tu ziara sukari lazima ishuke bei. You go go kipenzi cha watanzania.
 

nakubaliana na wewe 100 kwa 100
 
Uko kwenu mnakunywa maji ya kilimanjaro tu? make inaonekana hamna matatizo kabisa ya kijamii....au nyie kwenu siasa ni uadui!
KW hyo suluhisho la matatizo yetu ndo lowassa em kuwa serious kidogo
Umewahi fika monduli ukajionea hali ikoje Kule kW kiongizi wa mabadiliko??
Shda ya maji
Barabara mbovu kwa mfano kutoka Monduli MJINI hadi Engaruka juu nauli ni sh 30,000/= na ni ndani ya wilaya moja

Lepurk,serera,irkisale,mswakini no kata zpo kule hawajui chochote kuhusu maji safi wala umeme na Huyo lowassa kawa mbunge kwa zaidi ya miaka 20

Sasa kama jimbo dogo kama LA monduli lenye Kata 20 tu kashindwa kupeleka changes VP nchi nzma??

Shtuka ww
 
Sijui safari hii ataongeza dakika za kuzungumza?
 
Juan mata ajiandae tu kutafuta club nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…