Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukwel kusemwa mkuuNingeshangaa kama ungemsifia
Andka vzur kwnzaKwenu sisi tupo aje tu
Kwenu wap? Makao makuu ya CCMNmemtazama Jana ITV wallah Hanna kitu pale in pumba pumba pumba labda kama atafanyia monduli tu but huku kwet hatutak pumba
Kwetu TanzaniaKwenu wap? Makao makuu ya CCM
Kweli mahaba ukichaa mahaba uchiziPumba kuzidi hizi zako
Kwa tafakuri yangu binafsi,napata shida kuamini kuwa kwa mifumo yetu na katiba yetu ya sasa upinzani kuchukua nchi ni ndoto za mchana,kuingia kwenye uchaguzi chini ya tume hii ya uchaguzi,na sheria hizi zilizopo ambazo zinatoa fursa ya tume kumtangaza mshindi,(iwe ndiye mshindi au lah),tume hii hii ambayo kama ikionenekana upinzani unaelekea kuchukua dola WANAFUTA MCHAKATO MZIMA WA UCHAGUZI na kuanza upya,Sina imani kama upinzani wanaweza kuchukua dola.
Ushauri wangu,pamoja na kukijenga chama kwa nguvu zote,iende sambamba na kudai katiba mpya itakayojenga misingi imara ya taasisi hizi nyeti,(Tume huru kabisa ya uchaguzi,pamoja na kuvifanya vyombo vya dola kuwa free and neutral figures wakati wa uchaguzi) ili waweze kufanya kazi pasipo kuegemea upande wowote wa wagombea.
Lakini kama tukibaki katika mfumo HUU wa sasa,hata kama upinzani utapata asilimia 80,na CHICHIEM wakapata 20,bado CCM watatangazwa kuwa washindi,na hakuna kitakachotokea zaidi ya raia kulia lia tu,kitu ambacho kimsingi hakisaidii hata kidogo.
Good reference ni ZANZIBAR!!!
KW hyo suluhisho la matatizo yetu ndo lowassa em kuwa serious kidogoUko kwenu mnakunywa maji ya kilimanjaro tu? make inaonekana hamna matatizo kabisa ya kijamii....au nyie kwenu siasa ni uadui!
Kuna wachezaji watapigwa chini msim ujao!! Wakae makini!!! Ina maana msaidizi wake atakua giggs??
Pole sana mkuuTumbili Wa Lumumba nani asokujua?