Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Madawa na chanjo ili kushinda ugonjwa fulani lakini zinaacha particles za sumu mwilini kupelekea kuwa prone na magonjwa mwengine.
Chemicals na elements katika vyakula ili kushinda ushindani ila ndio hivyo zinashinda pia na afya zetu.
Booster na ngao katika wanyama na mazao ili kuwa bora zaidi, ila kinachofatia madhara ya ya zile booster katika afya zetu
Kutengeneza Silaha za kujihami na kuogopwa na mamlaka zengine zinaishia kuua maelfu na maelfu ya watu wengine zikasha uzwa kwa mamlaka nyingine.
LIFE'S A B++CH AND THEN YOU DIE ..