🚨 It's Manchester derby day🍿🔥

🚨 It's Manchester derby day🍿🔥

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Pichani ni Manchester Derby iliyopigwa mwaka 1947. 🤝
Siku zote mechi hii ya mahasimu wa Jiji la Manchester haijawahi kuwa ya kitoto kabisa. Mechi iliyopita iliisha kwa Manchester City kupata ushindi mnene wa mabao 6 - 3 pale Etihad.

Leo wanakutana tena Pale Old Trafford "Ngome Kongwe" huku Manchester United wakiwa wameimarika pia. Kutakua na vita Kali katikati ya Uwanja viungo Bora kabisa kwa timu zote mbili Casemiro, Bruno Fernandes, Eriksen kwa upande wa Manchester United huku Manchester City wakiwa na mwamba Kevin Debruyne, Ilkay Gundogan pamoja Rodri.

Kwenye eneo la ushambuliaji Erling Haaland pamoja na Marcus Rashford wanatazamiwa kufanya makubwa kwenye mchezo huu.

322404283_494447376150731_2990133118695455972_n.jpg
322633869_511632410839812_4413125458657460787_n.jpg
322404283_494447376150731_2990133118695455972_n.jpg
322633869_511632410839812_4413125458657460787_n.jpg
 
Mafans wa Arsenal tunaomba sare ama Man Utd ashinde afu sisi kesho tumlabue Tottenham
 
Back
Top Bottom