Its My Birthday, uzee unaniandama

Whoo happy birthday dear nimechelewa kuuona uzi umezaliwa same date na 1st born wangu na my young sis kwa kweli mmebarikiwa!!
Awwww thank you Genecandy What a blessing to those birthday mates, greet them for me, Hapoy Birthday to them too, I wish them a wonderful future ahead
 
Uishi maisha marefu sana, na Mungu akupe furaha ya kudumu, heri ya siku yako ya kuzaliwa
 
Better late rather never, sijui imenipitaje hii lakini niseme tu sijachelewa sana Abrianna Mungu azidi kukupa furaha ya maisha na mafanikio zaidi,
 
Keki ishaisha, birthdaybilikua 15th June, wewe unajileta leo unataka keki[emoji28]

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Huu pia ni aina nyingine ya uchoyo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Pale binti anapoutaka uzee hahahahahaha Abrianna uzee utakuja tu wewe bado sana kusema uzee unakuandama 😜😜😜
 
hahahahahaha hivi miaka 19 siku hizi ni uzee!? Haya Shikamoo binti mrembo.
Hahaha dooh 19 years, you must be kidding, marahaba kijana hujambo?
 
Reactions: BAK
Halafu nilijua jina lako lipo kwenye huu mkeka ila umeambulia patupu BAK Labda tusbiro pdf ya wakurugenzi
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…