toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,309
- 2,577
Ni saa 9:00 alasiri nakaribishwa na mwanamke ndani ya basi la AN COACH.
anatabasamu na kunikatia tiketi kwa adabu na heshima na anaonyesha weledi mkubwa kwa kazi yake.
Kwa haraka anaonekana kuwa kwenye miaka 26-30.umbo lake linaonyesha ana watoto wawili au Mmoja na amevaa Pete kidoleni ikiwa ni ishara kwamba ana ndoa.
Navutiwa na haiba yake kuliko umbo lake maana namuona alivyo siriaz na haiba yake inatoa taarifa nyingi kuliko sauti yake.ni wale wanawake ambao ukiwaona kwa macho unapata Ile sense ya combination ya mother &wife in one person.nafurahi na pia napata huzuni,hizi tunaita hisia mchanganyiko.
Wakati nawaza huku nimekaa kwenye siti yangu na headphones zangu mara naingia kwenye playlist yangu nakuanza kumsikiliza Beyonce na wimbo wake wa "if I were a boy"nakasirishwa na maneno ya Beyonce na pia naliwazwa na sauti ya Beyonce.Hisia mchanganyiko.
Wakati safari ikiwa imekolea mara namuona yule dada aliyenikatia tiketi anatoa simu Kisha anaikazia macho kwa tabasamu.natamani kujua anaangalia nini maana sura yake ilikuwa Ina tabasamu la furaha na huzuni.hisia mchanganyiko hizi!!!. Naamka kidogo najinyoosha maana shingo ilianza kuchoka na kwa bahati mbaya au nzuri nabahatika kuona anachoangalia yule dada kwenye simu.ni picha ya familia ikiwa na sura ya mwanaume,mwanamke na mtoto mdogo.mwanamke aliyeko kwenye picha ni yule dada wa tiketi.
Ghafla napata ufunuo wa hisia mchanganyiko zilizoko kwenye sura ya yule dada wa tiketi.sura ya mme bila shaka inamkumbusha wajibu wake kama mke na sura ya mtoto inamkumbusha wajibu wake kama mama.muda huo kikanuni ilipaswa awe nyumbani akiwa na taarifa kamili familia imekula Nini,imevaa nini,imekunywa nini na Iko wapi.njia pekee aliyonayo nikupata taarifa kwa simu tu.huzuni kwa kuwa mbali na familia pia furaha kwa kuingiza kipato.
Je alaumiwe?hapana
Je mume alaumiwe ?hapana.dada anaungana na mamilioni ya wanawake duniani ambao wameamua kuacha majukumu ya mke na mama Kisha wameamua kupambania familia zao na ndoto zao.jambo zuri kabisa.
tulizoea tukifika stand makondakta na wapiga debe ni wanaume ila kwasasa kuna wadada kibao na ukiwaangalia wanafamilia.
Sokoni wamejaa
Migodini wamejaa
Kwenye magari wamejaa
Maofisini wamejaa
Kwenye vyombo vya usafiri vya maji na anga wamejaa na kote huko wanafanya kazi kwa masaa 10+.
Wanaleta pesa mezani,wanatusaidia kumudu familia ila we are loosing wives and mothers but left with women so sad and happy.
Watoto wanalelewa kwenye daycare na EMS.
Watoto wana hisia na walimu wao na house girls kuliko mama zao.
Namwangalia huyu dada ana tabasamu Pana wakati anaangalia picha ya mume na mtoto wake ila hana furaha.hisia mchanganyiko.
It's not them,it's not us; wives and mothers are living our home in the name of WORK AND RESPONSIBILITY.we are left with women.
Nini maoni yako?