It's not them,it's not us:majukumu yanavyoondoka na wives and mothers katika familia zetu

It's not them,it's not us:majukumu yanavyoondoka na wives and mothers katika familia zetu

So unakubali changamoto za kisasa unakataa za kale huoni kama wewe ni sehemu ya tatizo?🤔

Yaani unakemea unyanyasaji wa wanawake at the expense ya wanaume,jamii nzima,watoto,na future ya taifa na entire black race kwa ujumla?
Tunamuinua mwanamke kwa kumuangusha mwanaume.

Yajayo yanafurahisha na kuhuzunisha
 
Kuna kale kamsemo ka

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Maarifa yameondoka sasa tunaangamia
Wajitambue tu wanawake, sema speep waliyopo saiv kuwasimamisha ni ngumu mikakat ya kuwaweka sawa inapangwa kila sekunde, kuliko sie wanaume tupo bize kuwapambia wao na taifa. kumbe wao tena wanavita vya chinchin na wanaume.
 
Waulize sasa mfumo dume ni kitu gani na unafanyaje shida wanaanza kukutajia changamoto za kijamii huku wakimlaumu mwanaume.

Then wageuzie kibao waulize,sasa hivi mnatoka majumbani, watoto wanalawitiwa na kubakwa, mimba za utotoni zimeongezeka, tabia za watoto ni mbaya sana,mnazaa bila Ndoa, usaliti na magonjwa ya zinaa vinaongezeka kwa kasi,je hizi ndio faida za kutokuwapo mfumo dume, utaona wanavyohangaika kujibu kama bata anataka kutaga
Wanatoa majibu mepesi kwa maswali magumu.

Dunia inamuhitaji sana mama na mke kuliko wanawake
 
Wajitambue tu wanawake, sema speep waliyopo saiv kuwasimamisha ni ngumu mikakat ya kuwaweka sawa inapangwa kila sekunde, kuliko sie wanaume tupo bize kuwapambia wao na taifa. kumbe wao tena wanavita vya chinchin na wanaume.
Halafu ni kama wanaume tunaona aibu kujizungumzia na kuzungumzia Hali ya familia zetu.

Wanawake wanapenda sana familia ila hawapendi kuwa chini ya mamlaka inayoendesha familia.

We love them but they love themselves thinking they love family.
 
- akija mwanaume analia kanyanyasika ndan, sie wanaume wenzie tutamcheka na kumwona dhaifu. Badala ya kumjenga na kumpgania. Hata ustawi wa jamii mwanaume siendi kwa kuhofia watanishangaa.
Ila wenzetu wanajitoaga fyuz kof moja anakimbia polce stat..
-wanawake wa sasa hawapend kua chin hayo yote ni matokeo ya haki sawa.
Eg. Ukitaka kuoa kwa sasa tunaangalia family ile ina baba na mama?
Je' baba na mama wa bint wanaishje? Au mama ndo kichwa cha family?
Ukioa bint kutoka kwa single mama au family ya baba na mama, ila mama ndo mwenye sauti. Hapo mara nying mwanaume utaumia tu uspokua na msimamo.
-ni wabinafs sana wanawake tena ukikuta wanapendana na mama ake hapo maamuz yanatoka kwa mama bint ndo atekeleze
 
Traditional family ishakufa kwa sasa
Kama unataka kujenga taifa Anza kwa kujenga familia.
Kama unataka kujenga familia anza kwa kuchagua mwenza Bora

Hii ni universal principle
 
Huu uzi nikama wanawake hawauoni au ndio wako busy "wanasaka hela"
Sio kwamba hatuuoni bali tumepigwa na hisia mchanganyiko... Tunajiuliza kipi bora, tubaki kuwa wake na mama huku familia zikiteketea kwa dhiki kwa sababu aidha waume zetu hawana kipato/ wametelekeza familia/ hawawajibiki kama waume na baba/ walishafariki au tuamue kuwa wanawake tukazitafutie familia zetu riziki?
 
Back
Top Bottom