TrueWenzetu wanafanya sana tafiti na kuandika vitabu juu ya haya masuala ila sisi tunaandika kauli mbiu mpya kila maadhimisho. Tunandalia vijana wajao mazingira magumu sana yakuunda familia. No wonder kuna kataa ndoa
Studies zipo na wamewabaini kuwa kuna sehemu hawafiti kwasababu wameingia kwa msukumo wa kampeni za haki sawa na sio wao kumudu majukumu.pay gap haimaanishi wanawake hawafanyi kazi, inamaanisha hawapo sana kwenye taaluma ngumu.
So unakubali changamoto za kisasa unakataa za kale huoni kama wewe ni sehemu ya tatizo?🤔Bora huu.
Fikra mchanganyikoIna
Fikirisha kwa kweli! Sijui kwa nini nimehuzunika!
Sasa nin hiki umeandika akikusikia Binti Sayuni03 Wakati umetuma maombi kwakeNi mwendo wa kupiga pumboor tu hamna kuoa
Hatuko siriaz na mambo ya msingi.Wenzetu wanafanya sana tafiti na kuandika vitabu juu ya haya masuala ila sisi tunaandika kauli mbiu mpya kila maadhimisho. Tunandalia vijana wajao mazingira magumu sana yakuunda familia. No wonder kuna kataa ndoa
Asichojua wazungu wanaanzisha ujinga,tunaiga ujinga,wao wanaacha ujinga na wanatuhimiza na kutusimamia tuendelee na ujingaZipo nyingi tu, Uingereza kwa mfano mwanamke halipwi mshahara sawa na mwanaume kwa kazi ile ile moja. Na hao wanakuletea masuala ya usawa wa kijinsia Afrika.
Maslahi kakaAfricans we are doomed and heading for a great failure with our future grandchildren. Nikiona muda huu namna hawa wanaharakati uchwara na makomwe yao namna wanashupalia utoto umewajaa vichwani naona kabisa kama jamii hakuna tunachokielewa kuhusu yanayokuja baadae.
Ila laiti kama watu wangekuwa wanafuatilia madhara ya huo mfumo wa kis*ng* wa kusema mwanaume na mwanamke ni sawa, nadhani wangekuwa wanawatukana matusi ya nguoni.
Kuna kale kamsemo ka~ humohumo tunapata mashoga, vibaka na wezi, watu wa hovyo, jamii ya hovyo isiyojitambua haina msingi mzur wa malez mazuri.
- Walisema mfumo dume uliwakandamiza japo MUNGU alimweka mwanaume awe kiongozi. Wamekiuka wanafata NEW WORLD ORDER.
- Kizazi kinaenda kukoswa MAADILI koz kinalelewa na bint wa kaz, walimu na kinajichunga chenyew, hakina wa kukionya mwenye kukijenga vizur ni mzazi mwenyew haswa MAMA.
N:B
* shetan na MUNGU wanapiga KAMPENI wanawake mstuke. mlud kweny nafas yenu. jamii inaanza kubadilishwa na MAMA