Tunamuinua mwanamke kwa kumuangusha mwanaume.So unakubali changamoto za kisasa unakataa za kale huoni kama wewe ni sehemu ya tatizo?🤔
Yaani unakemea unyanyasaji wa wanawake at the expense ya wanaume,jamii nzima,watoto,na future ya taifa na entire black race kwa ujumla?
Wajitambue tu wanawake, sema speep waliyopo saiv kuwasimamisha ni ngumu mikakat ya kuwaweka sawa inapangwa kila sekunde, kuliko sie wanaume tupo bize kuwapambia wao na taifa. kumbe wao tena wanavita vya chinchin na wanaume.Kuna kale kamsemo ka
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Maarifa yameondoka sasa tunaangamia
Wanatoa majibu mepesi kwa maswali magumu.Waulize sasa mfumo dume ni kitu gani na unafanyaje shida wanaanza kukutajia changamoto za kijamii huku wakimlaumu mwanaume.
Then wageuzie kibao waulize,sasa hivi mnatoka majumbani, watoto wanalawitiwa na kubakwa, mimba za utotoni zimeongezeka, tabia za watoto ni mbaya sana,mnazaa bila Ndoa, usaliti na magonjwa ya zinaa vinaongezeka kwa kasi,je hizi ndio faida za kutokuwapo mfumo dume, utaona wanavyohangaika kujibu kama bata anataka kutaga
Halafu ni kama wanaume tunaona aibu kujizungumzia na kuzungumzia Hali ya familia zetu.Wajitambue tu wanawake, sema speep waliyopo saiv kuwasimamisha ni ngumu mikakat ya kuwaweka sawa inapangwa kila sekunde, kuliko sie wanaume tupo bize kuwapambia wao na taifa. kumbe wao tena wanavita vya chinchin na wanaume.
- akija mwanaume analia kanyanyasika ndan, sie wanaume wenzie tutamcheka na kumwona dhaifu. Badala ya kumjenga na kumpgania. Hata ustawi wa jamii mwanaume siendi kwa kuhofia watanishangaa.Halafu ni kama wanaume tunaona aibu kujizungumzia na kuzungumzia Hali ya familia zetu.
Wanawake wanapenda sana familia ila hawapendi kuwa chini ya mamlaka inayoendesha familia.
We love them but they love themselves thinking they love family.
changamotoNa hili ndo kaburi linalotuangamiza
Sio kwamba hatuuoni bali tumepigwa na hisia mchanganyiko... Tunajiuliza kipi bora, tubaki kuwa wake na mama huku familia zikiteketea kwa dhiki kwa sababu aidha waume zetu hawana kipato/ wametelekeza familia/ hawawajibiki kama waume na baba/ walishafariki au tuamue kuwa wanawake tukazitafutie familia zetu riziki?Huu uzi nikama wanawake hawauoni au ndio wako busy "wanasaka hela"