tumaini massawe
Member
- Jul 9, 2012
- 18
- 2
:hat:Hiyo sheria imekaa poa sana aisee,hata huku TANZANIA inabidi 2iapply,maana,wanawake huku wajifanya wako juu sana kwa ajili ya yale mambo ya BEIJING!!matokeo yake wanawake sasa wawapa shida sana wanaume,,hata unyumba wa2 wanapewa kwa ratiba maalum.....BACK TO NATURE!!!
I just want fairness.
It's not fair to women that men have the legal right to have as many wives as they would like while women can't enjoy the same right of having multiple husbands.
It's just a matter of principle.
wanapigwa na wake zao hao kweli mambo tofauti unapokuja bongo wanawake ndio wengi wanafanyiwa ukatili
hii tabia yawanawake kupiga wanaume,hata hapa Tz Ipo Wanaume Hawasemi.
Ni issue ambayo inatakiwa ipate majibu ya kisheria, kama sheria haitoshi tuhamieJe kwa tz wanawake wanapigwa na waume zao nao waongeze wanaume?
wanapigwa na wake zao hao kweli mambo tofauti unapokuja bongo wanawake ndio wengi wanafanyiwa ukatili
Nadhani bado hawajapata ufumbuzi wa tatizo lao, pia wamesahau kuna ukimwi.