tumaini massawe
Member
- Jul 9, 2012
- 18
- 2
:hat:Hiyo sheria imekaa poa sana aisee,hata huku TANZANIA inabidi 2iapply,maana,wanawake huku wajifanya wako juu sana kwa ajili ya yale mambo ya BEIJING!!matokeo yake wanawake sasa wawapa shida sana wanaume,,hata unyumba wa2 wanapewa kwa ratiba maalum.....BACK TO NATURE!!!