Its Official: Polygamy is the law of the Land.

Its Official: Polygamy is the law of the Land.

Hii sio michepuko, ni double roads hivyo iruhusiwe na bongo!
 
Na dini siku zote inakuwa 1 tu, nyengine sio dini mana ni za uongo kama nazo ni dini kwanini zimekuwa na mapungufu ya kutokujuwa mwanaume anatakiwa aowe wanawake wangapi? mpaka munaenda kujadili bungeni? Hii ni sawa sawa na wale walioenda Beijing China kudai haki za wanawake wakati haki za wanawake tayari zipo kwenye kitabu kitakatifu cha Quran - kuwa Muislam utafahamu yote haya.

Wewe utakuwa una matatizo. Kitabu cha dini moja hakiwezi tumika kwa kila mtu. Kinavyosema kitabu chenyu sivyo kila mtu anataka, sheria za nchi hazina dini. Ingelikua tufuate dini, basi kila dini ingetengewa sehemu fulani ndaani ya nchi watu wake waende kuishi huko, lakini kwa vile tunaishi sote pamoja, inakua lazima tuunde sheria pembeni zitakazo tuwezesha kuishi bila kudhulumiana na ndio maana unashatkiwa mahakamani na kwa sheria za nchi unapomuua mtu hata kama dini inakuamurisha.
 
Usipoteze muda ndugu yangu kumuelimisha huyo mdini. Hawa wana matatizo ya msingi ya kutoelewa kuwa dini ni imani binafsi na kila mtu ana ya kwake. Ndio maana baadhi yao wanaamini kuwa ukimlipua mabomu mtu asiyeamini dini yao unaenda ahera kwao.
 
Bibi wa pili huleta Ukimwi?

cut the chain dear...

bibi wa pili na ye atakuwa na bwana mwingine nje, na bwana wa nje
atakuwa na bibi mwingine, mke wa kwanza haridhiki unavyospend more time
na bibi wapili basi na yeye anajitafutia bwana wa pili............ chain inazidi kuwa refu .

Okay you can say hata sasa mambo kama haya yapo.
lakini ni rahisi zaidi to eliminate , prevent or control ukiwa na bibi mmoja .

anyway niwatakie kila jema na nchi yenu.
 
Amesaini leo ambapo sasa wanaume wa kenya wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja kisheria kabisa!!
 
Ha ha ha.. I advise all kenyan women to use the only weapon they have to fight this.. They should boycott sleeping with men..
 
Ni habari ya furaha kwa wanaume wa kenya na ni habari ya huzuni kwa wanawake wa kenxa baada ya rais uhuru kenyata kutia saini muswada huo na kuwa sheria kamili
 
inamaana raia wote wa kenya walikua wanaowa kwa kibali kutoka ktk serikali yao,wakenya nao bana wana mbwembwe
 
Looks like wanawake wa huko wamekuwa wakiritimba kiasi cha serikali kutafuta njia mbadala.

Hivi si hukohuko tuliambiwa wanaume hukung'utwa makonde na wake zao?! Sipati picha kama mwanaume atakuwa ni wa wrong choice, kila atakayemuoa akawa mwanamasumbwi
 
Sheria hii ni kwa Wakristo tu Waisilamu wanafika mpaka wake wane mwenye uwezo wake tena bila ya kusubiri muwafaka wa raisi. 👰
 
Duh haya bana kazi wanayo
Ila Mungu alitaka iwe mke mmoja
 
Nadhani kanisa la kenya alitakaa kimya katika ibada ya jumapili hii kuwakumbusha waumini wao ndoa ya mkristo ni moja tu.Ila asije ruhusu na ushoga tu.
 
Looks like wanawake wa huko wamekuwa wakiritimba kiasi cha serikali kutafuta njia mbadala.

Hivi si hukohuko tuliambiwa wanaume hukung'utwa makonde na wake zao?! Sipati picha kama mwanaume atakuwa ni wa wrong choice, kila atakayemuoa akawa mwanamasumbwi

Hata mimi nimeanza kujihami na Tae kwo nduu or ndoo, Karate, Samorai,
Masumbwi
na zenginezo kwani hamna ulinzi wa serikali wa kulinda
wanaume wa Kenya kutokana na,,waliokua malaika, hapo zamani.:smile-big::A S 13::smile-big:

Lakini mungu yuko nasi, atatulinda kutokana na
hawa malaika wetu, very dangerous but how can
a man like me, Jammu, do without them??????😕

Ewe mwenye enzi mungu ni saidie.

Amen, Amina, Aaaaamen.
 
hapa rais kacheza kadi zake kwa busara sana. ile ya +50:50 iko au vipi? mswada utafanya malaika wetu kuilinda na kuheshinu ndoa zao.
 
Back
Top Bottom