Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na dini siku zote inakuwa 1 tu, nyengine sio dini mana ni za uongo kama nazo ni dini kwanini zimekuwa na mapungufu ya kutokujuwa mwanaume anatakiwa aowe wanawake wangapi? mpaka munaenda kujadili bungeni? Hii ni sawa sawa na wale walioenda Beijing China kudai haki za wanawake wakati haki za wanawake tayari zipo kwenye kitabu kitakatifu cha Quran - kuwa Muislam utafahamu yote haya.
Usipoteze muda ndugu yangu kumuelimisha huyo mdini. Hawa wana matatizo ya msingi ya kutoelewa kuwa dini ni imani binafsi na kila mtu ana ya kwake. Ndio maana baadhi yao wanaamini kuwa ukimlipua mabomu mtu asiyeamini dini yao unaenda ahera kwao.Wewe utakuwa una matatizo. Kitabu cha dini moja hakiwezi tumika kwa kila mtu. Kinavyosema kitabu chenyu sivyo kila mtu anataka, sheria za nchi hazina dini. Ingelikua tufuate dini, basi kila dini ingetengewa sehemu fulani ndaani ya nchi watu wake waende kuishi huko, lakini kwa vile tunaishi sote pamoja, inakua lazima tuunde sheria pembeni zitakazo tuwezesha kuishi bila kudhulumiana na ndio maana unashatkiwa mahakamani na kwa sheria za nchi unapomuua mtu hata kama dini inakuamurisha.
Bibi wa pili huleta Ukimwi?
Na wasioa kabisa wanamchukiza mungu?Duh haya bana kazi wanayo
Ila Mungu alitaka iwe mke mmoja
Duh haya bana kazi wanayo
Ila Mungu alitaka iwe mke mmoja
Looks like wanawake wa huko wamekuwa wakiritimba kiasi cha serikali kutafuta njia mbadala.
Hivi si hukohuko tuliambiwa wanaume hukung'utwa makonde na wake zao?! Sipati picha kama mwanaume atakuwa ni wa wrong choice, kila atakayemuoa akawa mwanamasumbwi