Tetesi: It's Over, Romain Folz amefutwa kazi ndani ya Young Africans as expected. Official Announcement soon

Ila ikifikia hivyo, basi ni afadhali makocha wa fitness na goalkeeping wabakizwe kwenye benchi; wanajua sana.
 
naomba tapeli folz asifutwe kazi hadi aharibu chemistry yote ya team.
 
Mtoa mada majibu yako ni muhimu sana. Romain Folz bado ni kocha mkuu wa Yanga! Na hata sasa anaiandaa timu kwa ajili ya mechi ya klabu bingwa dhidi ya Silver strikers ya Malawi.
Kuna mambo mawil nahisi,
yawezekana amemwacha amalizie kuiongoza timu katika mechi mbili zilizobakia za kufuzu hatua ya makundi.

Ama kama sio hivyo bssi wameshindwa kumvunjia mkataba.
 
Mtoa mada majibu yako ni muhimu sana. Romain Folz bado ni kocha mkuu wa Yanga! Na hata sasa anaiandaa timu kwa ajili ya mechi ya klabu bingwa dhidi ya Silver strikers ya Malawi.
Zilikuwa tetesi tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…