Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Umetulisha tango poriUnacheka Nini anko š
Umetulisha tango poriUnacheka Nini anko š
Elewa Neno tetesi ankoUmetulisha tango pori
Huyu jamaa yupo serious utasema ni kocha kweli....
Kumbe tapeli tu.Huyu jamaa yupo serious utasema ni kocha kweli....
Naanza kuingia na wasiwasi kama vile huyu Folz bado yupo yupo sana. Wamemuongezea na msaidizi wake asiyekuwa na uzoefu pia. Ni kama inatengenezwa anguko la Yanga safari hii.Kumbe tapeli tu.
Nimeona.Naanza kuingia na wasiwasi kama vile huyu Folz bado yupo yupo sana. Wamemuongezea na msaidizi wake asiyekuwa na uzoefu pia. Ni kama inatengenezwa anguko la Yanga safari hii.
Mwenzake naye hatujui kama amepona ama lah, maana isijekuwa karuka mkojo kaja kukanyaga mavi. Ngoja tuone mbeleni Mr. Tatoo atakuwa kocha wa namna gani. Ila kwa Folz mh ngoja tuendelee kuwa wapoleYanga ameambukizwa homa ya kariakoo wakati mwenzake akielekea kupona...
Mbona kama bado yupo!