It’s time for Tabata, sio Sinza,sio Kinondoni. Njoo Tabata kwa wala bata

Tabata ndiyo dar na dar ndiyo tabata...hujafika Tabata hujafika dar kwa wakati huu..usitumie nguvu sanaaa Kubisha we fanya kupita 40/40 na bar zingine week end hii utajionea kwanza kila baada ya nyumba kuna pub za maana
 
Ipo ivyo kweny biashara y baa watu wakisha wamaliza mabamedi wanahama zao kwa wapya
 
HAKUNA WATU WASHAMBA WA STAREHE KAMA WATU WANAOISHI TABATA NA VITONGOZI VYAKE

YAANI UWEPO WA BAR YA 40/40 , THE GREAT, KWETU PAZULI, KITAMBAA CHEUPE,BL SIJUI TOROKA UJE WANAONA WENYEWE NDO SEHEMU ZA KULA STAREHE HIZO AMBAPO BIA INAUZWA 2000
ALAFU MALAYA WAO HUKO WANAUZIWA 5000 SHOW TIME WENYEWE WANAJIONA WAKO JUU
KUWAZIDI WATOTO WA KINONDONI
NA SINZAA

IVI STAREHE ZA KINONDONI NA SINZA WATU WANAZIJUA AU WANAZISIKIA
 
Hapa tu sahivi niko micasa lounge tabata napata soda mbili tatu na kitimoto.
 
Hapa tu sahivi niko micasa lounge tabata napata soda mbili tatu na kitimoto.
Kitimoto bila kilaji kikali ni sawa na kuvaa suti nzuriii alafu chini ukagonga kanda mbili za kuingilia chooni
 
Angwisa ni mbali Sana'a aisee kama vile unaenda lushoto
 
40/40 ndio bar kali? Haya kuleni bata!
 
Tabata ndiyo dar na dar ndiyo tabata...hujafika Tabata hujafika dar kwa wakati huu..usitumie nguvu sanaaa Kubisha we fanya kupita 40/40 na bar zingine week end hii utajionea kwanza kila baada ya nyumba kuna pub za maana
Ha ha ha utafanya watu waje mbio mbio kwenye hio bar ya kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…