It’s time for Tabata, sio Sinza,sio Kinondoni. Njoo Tabata kwa wala bata

Kwamba wewe unauwezo wa kwenda samaki samaki ukaanza kunywa bandika bandua kuanzia saa 12 jioni hadi saa 6 usiku? Au ndo wale bia moja unakunywa masaa 2-3 unajifanya unakodolea TV enh
Haaa haaaaa aisee nimecheka.
 

Jifunze kwa Freeman Mbowe jinsi alivyoifanya Club Billicanas kuwa hot cake kwa miaka zaidi ya 20. Ni kuzaliwa upya kila baada ya muda fulani. Baa mpya ikizaliwa, na wewe ya kwako ifanyie renovation. Badilisha mandhari iwe mpya. Na muhimu kabisa ajiri wahudumu warembo.
 
Agwisa ipo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…