It’s time for Tabata, sio Sinza,sio Kinondoni. Njoo Tabata kwa wala bata

Kuna bar mpya Tegeta inaitwa China ba kila jumamosi wanaleta artist mpya.

Last week alikuwepo Mario.. This week amerperfom baraka De Prince kiingilio beer mbili tu, malaya clean mbaaya. [emoji23][emoji23]
 
Kwamba wewe unauwezo wa kwenda samaki samaki ukaanza kunywa bandika bandua kuanzia saa 12 jioni hadi saa 6 usiku? Au ndo wale bia moja unakunywa masaa 2-3 unajifanya unakodolea TV enh
Hahahaha anazuga kukodolea tv masaa yaende
 
Kuna bar mpya Tegeta inaitwa China ba kila jumamosi wanaleta artist mpya.

Last week alikuwepo Mario.. This week amerperfom baraka De Prince kiingilio beer mbili tu, malaya clean mbaaya. [emoji23][emoji23]
Weeeeeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna kiwanja kipya kimefunguliwa leo kipo katikati ya tanesco na barakuda...
 
Hahaha upo sahihi kabisa. Hata ukitrace vizuri utaona the great aliibuka baada ya kwetu pazuri kuyumba. Ndio watu wakahama.

Hapo hapo ilipo anzishwa kitambaa cheupe watu wamepungua the great wamehamia kitambaa cheupe pale chama oposite na tabata general hosp

Kuna nyingine inafunguliwa hapo tabata posta opposite na koppa cabana nimeona ishaanza kujaza ina siku kama nne hivi.

But all in all kuna bar kama micassa ambayo haiyumbi siku zote za bata huwa imejaa ingawa siku ya liveband panakuwa hapatoshi.
 
Hahahaha hilo chimbo tamu saana. Jamaa alifikiria mbali saana. Hali ya hewa safi plus view ya mji.
 
Kuna tofaut gani ya radha ya bia unayouziwa 2000 na unayouziwa 5000??
 
Agwisa ipo wapi
Kama unatokea kinyerez ukifika kifuru pale kuna njia mkono wa kushoto unaifata ya vumbi...

Unaifata ukifika mbele kuna junction you just keep left ukiifata ya kulia unapotea unaenda kutokea kwenye SGR station pugu. Kuna mabango yanaelekeza.
 
Okey
 
Jana pia nilkuwepo na Mimi niweke historia nacho katika ufunguzi mpya

Cheki sana ball jana....wanaolewa tuliwaacha walewe.
Kuna kiwanja kipya kimefunguliwa leo kipo katikati ya tanesco na barakuda...
 
Hivi kitambaa cheupe ni jina tu
Au kitambaa cheupe wanakuwepo kweli?
 
Mkui ukiona gari nyingi usidhani kwamba it means tge place is good.

Viwanja vingine ulivyotaja ni overcrowded, vya kishamba.

But for each his own
 
Hivi kitambaa cheupe ni jina tu
Au kitambaa cheupe wanakuwepo kweli?

Ni jina tu...ni bar ya mtoto wa king Kiki alieimba Wimbo wa kitambaa cheupe anaitwa jesca kikumbi...mtoto wa Mzee kikumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…