Himiza utekelezwaji wa sheria uonapo uvunjifu kwa sababu zipo.Uchomaji taka holela umekithiri mitaani.
Nimeipitia hiyo sheria nilichoshauri hakipo.Itungwe mara ngapi?Nenda kwa Mtendaji wa mtaa/kata/Afisa Afya wa kata akupe shreia ya afya na mazingira,makatazo,maelezo na adhabu zake.Za siku nyingi tu katika serikali za mitaa 1982 na serikali kuu pia.
Siku nyingine ukikuta wanafanya hayo mashindano ya uchomaji takataka/taka ngumu au hata nyepesi mitaani bila utaratibu hitajika uwaeleze kwamba ni kosa kisheria.Wasipofundishika una haki ya kuwashitaki.Ajabu sana na inaonesha sheria za mamlaka za miji kuhusu afya,utunzaji na usafi wa mazingira hawajui.Nimeipitia hiyo sheria nilichoshauri hakipo.
Basi kuna uzembe kwenye kufuatilia utekelezaji. Kuna watu na uchomaji moto ni kama Masai na SimeItungwe mara ngapi?Nenda kwa Mtendaji wa mtaa/kata/Afisa Afya wa kata akupe shreia ya afya na mazingira,makatazo,maelezo na adhabu zake.Za siku nyingi tu katika serikali za mitaa 1982 na serikali kuu pia.
Wasimamizi wa sheria hizo nyakati zingine ni changamoto aidha kwa kutozijua au uzembe wa kutozisimamia.Uchomaji vitu/takataka hovyo,sauti kubwa za muziki au vipaza sauti/PA mitaani bila vibali/maelekezo sahihi ni changamoto kubwa.Basi kuna uzembe kwenye kufuatilia utekelezaji. Kuna watu na moto ni kama Masai na Sime
Kilichomo kwenye sheria ni kuhusu utaratibu wa kutoa vibali vya kuchoma taka kwa makampuni binafsi na taasisi.Basi kuna uzembe kwenye kufuatilia utekelezaji. Kuna watu na uchomaji moto ni kama Masai na Sime
Wadau huko wanasema wana miezi 3 + gari za taka hazijapita kwenye maeneo yao kusomba takaTatizo sio wachomaji tatizo ni magari ya taka ya manispaa je yanapita kwa wakati huko mitaani? Hii nchi imeharibika kila kona.
Sheria pia ni tatizo unamwajibisha mtu kwa kutumia sheria ipi wakati haipo.Tatizo sio wachomaji tatizo ni magari ya taka ya manispaa je yanapita kwa wakati huko mitaani? Hii nchi imeharibika kila kona.
Hoja yangu ni kuchoma taka hovyo mitaani.Mambo mengi mtaani yanayofanyika kisheria ni makosa
Kama hayo ya kuchoma takataka, kutupa takataka,
Kupiga muziki
Kuuza mamantilie
Kuuza vitafunio, genge, duka au biashara yoyote bila kibali cha wataalam husika na serikali.
Tukisema Sheria ifuatwe kama ilivyo mambo yatakuwa magumu hapa.
Ni lazima kuna sheria inayokataza. Sheria zetu nyingi tulirithi kwa wakoloni na walikuwa wame-cover karibu kila kitu kwenye maisha ya kila siku.Nimeipitia hiyo sheria nilichoshauri hakipo.
Sheria ipo.Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani.
Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu.
Unakuta taka zina nailoni mbali mbali na materials nyingine ambazo zinaweze kuwa na madhara ya kiafya kwa wakazi wa maeneo hayo.
Ila hiyo ya kuchoma taka ingekaziwa!Mambo mengi mtaani yanayofanyika kisheria ni makosa
Kama hayo ya kuchoma takataka, kutupa takataka,
Kupiga muziki
Kuuza mamantilie
Kuuza vitafunio, genge, duka au biashara yoyote bila kibali cha wataalam husika na serikali.
Tukisema Sheria ifuatwe kama ilivyo mambo yatakuwa magumu hapa.
Sheria ipo na inakataza, pengine wewe mpaka uone neno ''kuchoma taka mitaani na majumbani''? Kna sheria tena nyingi tu eg illegal waste disposal, environmental pollution, au public nuisance under municipal by-laws and environmental regulations.Hoja yangu ni kuchoma taka hovyo mitaani.
Sheria haipo iwekwe kwanza.
Watu wanalipa takaSheria ipo.
Taka kuchomwa ni KIASHIRIA cha UMASIKINI cha ENEO lako. Wanafanya wanachoweza eneo libaki safi.
Watu hawalipi USHURU wa TAKA.
TAKA haziwezi kujipeleka DAMPO.