Itungwe sheria kuzuia uchomaji wa Taka ngumu mitaani

Watu wanalipa taka
Sema ukusanyi wa taka
Umekuwa mmbovu
Watu huko wanalalamika
Miezi 3 gari la taka halijapita

Ova
Wakija kukusanya pesa ya taka kwako, kabla hawahazoa taka.

USIWAPE
 
Ila hiyo ya kuchoma taka ingekaziwa!
Kwengine huku taka marafuku kuchoma,hata kuanika nguo kwenye kamba ulizofua mbele ya nyumba yako marufuku Anika nyuma huko
Kuna sheria ndogo ndogo zinafuatiliwa

Ova

Inawezekana kabisa.
Kwa sababu mtu anachoma taka alafu moshi wote unaingia kwenye nyumba ya jirani vyumbani na sebuleni. Utaambiwa uvumilie dakika kadhaa tuu
 
Wakija kukusanya pesa ya taka kwako, kabla hawahazoa taka.

USIWAPE
Sipo huko!

Kwanini wakusanyaji taka hawafati ratiba yao,waliyoweka,au ndiyo jiji wanawazingua kwenye kuwalipa fedha wakandarasi wa taka kwa wakati
Kingine kwanini lile dampo wasiliboreshe liweze kuingilika kwa urahisi

Unaleta maelezo mengi.

Kama kwako hawajazoa taka usitoe pesa ya taka.

Suala la mzabuni hajalipwa na Jiji ni mambo ya Jiji, walipeana kazi wenyewe wanajuana.
 
Mkuu kuna wengine wanafanya maksudi kabisa.
Kwa mfano hapa mtaani kwangu kuna mwalimu mmoja zamani alikuwa chapombee sasa hivi anazuga kuwa mwokovu uchwara. Anasumbua sana huyu bwana ni kero. Akiamua kuomba kwa sauti usiku wa manane kisha baada ya hapo atafungulia mziki wa injili kwa sauti kali usiku kucha.

Yupo mwingine hapa tena mjumbe kabisa jana kachoma uchafu wa taka ngumu, mapira na plastics vimetimua mimoshi tangu jana mchana mpaka muda huu hadi kanitibulia pumu nimeshindwa hata kuendelea na ratiba zangu.
 
Kuna mambo yapo, kama VIASHIRIA VYA UMASIKINI.

Hasa TAKATAKA.

Halmashauri ngapi nchi hii zina hata magari ya taka??
 
Unaleta maelezo mengi.

Kama kwako hawajazoa taka usitoe pesa ya taka.

Suala la mzabuni hajalipwa na Jiji ni mambo ya Jiji, walipeana kazi wenyewe wanajuana.
Hiyo watu kugoma kulipa nakunga mkono

Ova
 
Kuna uwezekano Sheria ikawa ipo (Sina hakuna) but ufuatiliaji na utekelezaji ndo Tatizo sugu Hapa TZ.
 
Environmental (Solid Waste Management) Regulations, 2009 ibara ya 30.
Bado haina cover situation niliyopendekeza hayo ni maeneo maalum yaliyotengwa kwa kutupa taka.

Mimi nazungumzia uchomaji taka holela katika makazi ya watu kwa maeneo ambayo sio rasmi kwa utupaji taka.
 
Bado haina cover situation niliyopendekeza hayo ni maeneo maalum yaliyotengwa kwa kutupa taka.

Mimi nazungumzia uchomaji taka holela katika makazi ya watu kwa maeneo ambayo sio rasmi kwa utupaji taka.
Sheria hazitungwi kama unavyotaka, yaani uambiwe usichome moto hovyo, au usichome moto barazani kwako.
Hiyo sheria, kuanzia section 22, inataka serikali za mitaa ziwe na eneo la kutupa taka. Ndio maana taka zinakusanywa kimtaa, sijui labda vijijini.

Yaani huruhusiwi kuwa na taka nyumbani kwako, mnakusanya kila baada ya muda mfupi. Maana yake ukichoma taka umevunja sheria.
Sasa kama huruhusiwi kuchoma maeneo ya kukusanya taka, utachoma taka wapi? Wakati huruhusiwi kukusanya taka eneo lisilo rasmi.
 
Itungwe sheria watu wasiruhusiwe kukaa na mavi nyumbani
 
Hiyo ni tafsiri yako hakuna kifungu cha namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…