Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Alikuepo Sunday shomari na sister du mmoja akiitwa Monica Mfumia nadhani wapo States
Wengi wapo states akina Rose Chitala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuepo Sunday shomari na sister du mmoja akiitwa Monica Mfumia nadhani wapo States
Sarafina, Neria, Home Alone, Baby's Day Out siku za sikukuu ITV
Asante sana kwa hayo marekebishoIle ya ITV iliitwa The Journey to the West sio The Monkey King mkuu
Hiyo The Monkey King ni movie tu ya 2014 starring ni Donnie Yen na Co-starring ni Aaron Kwok
Kuna scene huyo nyani aliingia kwenye Tikiti halafu kuna madam akajichanganya akalila,kilichofuata anashangaa kiumbe kinaruka sarakasi tumboni mwake full maumivu!Yule Monkey King? Maarufu uswazi jina la Shivoo
View attachment 2477738
🤣🤣🤣 enzi za akina Randy Savage a.k.a "Macho Man"John Cena wa Juzi... Mieleka enzi hizo Tunawacheki wakina Hulk HOgani ndio wababe wa Mieleka wa wakati huo
Kaole Sanaa Group walishika nchi... Kina Kibakuli....
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Vitabakia kuwa miongoni mwa vituo vya TV na redio vikongwe ila vimepoteza audience tofauti na miaka ya nyumaITV & RADIO ONE STEREO NDIO BABA LAO MPAKA LEO WAKUJA WAKUJA TUU
Pole sana mkuu (Oooh Secreto de Amore)Nakumbuka La mujer de mi vida ilivyoisha mimi na House girl tulilia [emoji1787][emoji1787] dah
Dahh, time traxx ya capten lambert, robocop, pointman, renegade ya mzee rhino na bonge la baik, had mwili umesisimuka asee
Renegade ndio Ile ilikua jamaa mmoja anaendesha pikipiki kubwa ivi kulikua na mkono sana wa kiTexas
Mzee wa kipusa, kama sio Abdallah Majura basi alikuwa Abubukari Liongo .KWA UCHACHE NILOKAWA NACHUNGULIA DIRUSHANI NILIPENDA SANA KIPINDI CHA SEKI ENZI ZILE CHANNEL 5 ILIKUWA ANAWAHOJI WATU BEACH NA STYLE YAKE YA KUGEUZA CAP NA ALIKUWA ANATIA MBWEMBWE FLANI HIVI ZA COMEDY.
ILA NIRUDIPO HOME ILIKUWA NI KWENYE PANASONIC RADIO YA MSHUA RTD NDIO STATION MAMA NIKAWA MPENZI WA TAARIFA YA HABARI HUSUSAN REPORTER BEEN KIKO KAMA SIKOSEI AKIRIPOT HABARI ZA MUSOMA NILIPENDA SANA AINA YA UONGEAJI WAKE SIJAONA MWENYE KUKOPY KIZAZI HICHI CHA CONNECTION.
ILA RADIO ONE ILIKUWA TUNAKUSANYIKA JIONI SAA 11 NA WASHKAJI WEEKEND TUKITOKA KUFUA UNIFORM MTONI NA KUSIKILIZA RADHA 10 ZA BONGO ZIKIPOROMOSHWA NA "ABD" ABDALLAH MWAIPAYA NA KIPINDI CHA CHEMSHA BONGO NISHAMSAHAU MTANGAZAJI DAAH MZEE WA KENGELE NADGANI HII NDIO KAIKOPY D'JARO TBC PIA USIKU WA SAA 3 ILIKUWA NI CHAGUO LA DJ MIKONO YA ABOUBAKAR SADICK KWA FUIO HAPO NDIO ILIKUWA BETRI ZA VIDONGE ZINAISHIAGA.
RADIO YANGU YA MWISHO KUIFATILIA NI RFA MWANZONI KABISA MWA FM STATION SIJAJUA HAWA JANAA WALIONGEZA NINI KWENYE ILE MITAMBO YAO MAANA FREDY FEDRICK "FEDWAA" (Hayati) HUYU MWAMBA SAUTI ILIVYOKAWA INAPAFOM VIZURI KULE RFA IKAWA NI TOFAUTI KABISA NA FEDWAA ILOKAFANYA NINUNUE WORKMAN YANGU MAANA JAMAA ILIKUWA KILA KIPINDI ANACHOSIMAMA UTASEMA KISIISHE NAKUMBUKA ENZI ZILE YULE JAMAA WA SITOSAHAU NA STORY YA GAMBOSHI NDIO IKIWA MWANZONI MWANZONI KABISA KIUKWELI RFA ILIKUWA NI MOTO SIJAJUA CLOUDS KULIKUWA NA AKINA NANI MAANA TULIKUWA TUNASIMULIWA NA WALE WARUDIO DAR NA KUZIPONDA RADIO TUNAZOSIKILIZA KWA KUZIITA ZA KISHAMBA HAAAA HAAAA HAAAA DUH PANGETOKA FULSA MAISHA KUPIGA REVERSE BASI ILE MIAKA NDIO NINGERUDI ILA DUUU NINGEMISS JF MAANA NDIO KIDOOOOGO SEHEMU ILIYOBAKI RUBUDAAAAANI
tv zilikua zinalindwa sanaNakumbuka enzi hizo ndio mzee wangu alinunua tv, kativii kadogo kama nchi 14 hivi kanawekwa kwenye kikabati maalum cha matairi. Kikabati kinafungwa mlango na kufuli.. kikabati kinakaa chumbani kwake usiku ndio kinavutwa kuletwa sebuleni kuangalia.. lazima muwe mmeoga ndio muangalie.. mwendo wa sunset beach itv ma days of pur lives ctn... life was hood then!!
Sting🤣🤣🤣 enzi za akina Randy Savage a.k.a "Macho Man"
Home ilikuwa Kuangalia Tv basi ni ITV na Radio ni Radio one..
Katika vipindi ambavyo kilikuwa kinatukutanisha pamoja ni Isidingo.. Dahhh!!Mzee ameweza ameangalia episodes zote hadi imeisha🤣🤣🤣