Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Renegade ndio Ile ilikua jamaa mmoja anaendesha pikipiki kubwa ivi kulikua na mkono sana wa kiTexasAcapulco bay, point man, time traxx, dark justice, robbocop, sunset beach, walker Texas ranger, renegade..!
Daah enzi za utoto tulienjoy sana hizi tamthilia.
Enzi hizo tulikua tunaweka antena za kipepeo unapata ITV murua kabisa. sitasahau siku nilitaka kuchoma nyumba.Mmmh hii sikupata kusikia.
Au mlikuwa mnalipia Cable TV yaani huduma ya kupata matangazo ya TV stations kupitia cable?
TV kwa maana ya ile device sidhani kama iliwahi kulipiwa kwa mtindo huo.
Nasubiri majibu ya wengine.
Nadhani nyani alikuwa anatamka vibaya 'sifu' kwa maana ya mwalimu au master kwa kichina.Yeah shivoo nilikuwa namkubali ila siwaelewi kipindi hicho ngoja nikacheki youtube kama zipo episodes
Unamaanisha ile ya kichina inaitwa The Journey to the West tuliibatiza jinaa la ShivoKuna ile movie ya nyani itv saa nne asubuhi inaitwaje
Ile habari ilimpa umaarufu sana mzee Rainfred Masako 🤣🤣🤣Tujikumbushe lile tukio la mbeya ilikuwa 96-97
"mwenye kikombe Aya,mwenye dumu Aya,kila mtu alibeba mafuta ajuwavo basi mwengine kaingia na tamaa kuchukua betri ndipo moto ukawaka "
Mbeya ili tukio
View attachment 2477761
Mimi miaka hiyo bado niko kijijini kwetu Namanyere home kwetu hatukuwa hata na radio ya mbao hivyo hayo mambo ya "Tivii" nimekuja kuyajua ukubwani nilipokuja mjiniKampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Yeah sijui media za Bongo zilifeli wapi? Nafikiri ada (Television rights) za kuonyesha mechi za UEFA huenda ziliwashindaNakumbuka ila baadae channel tena ndio wakapamba sana miaka 1999 kuendelea
Tena ukute lile li ungo likubwa jeusi limewekwa juu ya kenopi ya nyumba hapo ujue hao ni wa kishuaUmenikumbusha mkuu ukiona nyumba ina ungo unaona hawa matajiri balaa
Itakuwa ni Misanya Bingi huyo - mzee wa O.Kuna yule brazamen alikuwa anatangaza kipindi cha hiphop,ana photoshop yupo na kina snoop na P diddy afu kakaaa pembeni jamaaa alikuwa na swagaaaaa yuleeeee.
Renegade ndio Ile ilikua jamaa mmoja anaendesha pikipiki kubwa ivi kulikua na mkono sana wa kiTexas
Kipindi HICHO. Naona unarudia-rudia kipindi ''hiko''Mwenye ungo kipindi hiko anaogopeka. Sisi tuliokulia mitaa ya Sinza inayoanzia kijiweni kwenda mpaka mlimani na Mikocheni tulikuwa tunawaona watu matajiri sana.
Hii tamthilia ilikuwa mwisho wa yote,sidhani kama kuna tamthilia ilivutia maelfu ya watu kupita hii ya wakenya kina Dama, Mponda,Mjuba, Jesca Brown,Lindi,Sugu chokoraa,Kibibi,Siti na wengine.Ilikuwa bora mtu akose kula kuliko ku miss Tausi