ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

Nakumbuka mara ya kwanza movie la Set if Off la Queen Latifa na wenzake nilichekia hapo
 
Nakumbuka mara ya kwanza movie la Set if Off la Queen Latifa na wenzake nilichekia hapo

series ilitoka 1993-1998 unaikumbuka ITV
IMG_0787.jpg
 
Kulikuwepo comedy flani ya kizungu ya ndugu waliokuwa wamefanana sana
 
Mbona mnaisahau Egoli, wakati tupo skonga watu walitoroka shule wakaenda Hotel moja maarufu sana pale Moro town, kwa bahati mbaya mimi nilikuwa Dom leader. Na wale wazishi walinipanga mapema kiwa kuwa Dogo sisi leo tunatoka tunaenda disco. Nami nikawaambia subirini rokoo kabisa. Wakasema poa ila mkiomdoka msoniage wala msinijulishe hapa hapa tumemaliza. Bwana bwana kufika saa 2 usiku kumbu kuna taarifa ya habari za mazingira na ile semina ilifanyika pale ilipomalizika wakajimwaga kusheherekea. Bwana weee kwenye taarifa ya habari wakaonekana usiku tumeamshwa kwa kengere na rokoo ikapita na wao hawapo mbele ya ticha wa zamu. Ndiyo kuambiwa wale wameonekana kwenye TV huko kwa walimu sina hamu. Kwa kasheshe lile wale jamaa zangu walikula suspension km miezi 2 nafikiri. Na wale hawakunotaja kuwa tulimwambia Dom leader nikapona. Lakini waliporudi wooote walifanya paper wakatusua vibaya sana. Nawakumbuka sana ndugu zangu. Sina hamu na ITV miye ilikuwa 1994 huko.
 
Dah mie ndo huwa najiuliza na kusema dunia imeanza mda mwingi sana ,ukitafakari miaka ya 80- 99 hapo nchi yetu ilikuwa analogy kweli kweli.

Sa ukijiuliza mwaka 1900s si ndo ilikuwa pori tu afrika yetu,babu yangu alizaliwa miaka hiyo na aliniambia alipokuwa kijana kitendo cha kukutana na simba nyuma ya nyuma ni kawaida tu.
Alisema maeneo yote ilikuwa ni pori tu ,hata maeneo ya mijini tunayo yaona sasa
Ukitaka kujenga kijumba chako au kuandaa shamba ni lazima ukate miti kweli kweli
 
Back
Top Bottom