Awali ya yote unapaswa kufahamu kuwa ITV ni kituo binafsi hivyo hakina shurtisho la kuonyesha kila unachotaka wewe.
Pili, si kila mtu anamuona Makonda ni wa muhimu sana kama umuonavyo wewe. Kwa nafasi yake Makonda ni msema chochote tu wa chama, japo kajitiwika ukatibu mkuu kabisa na kuanza kutukana na kudhalilisha watu ambao hana hata mamlaka nao.
Mwisho na la muhimu zaidi, kuna channel nyingine kadhaa zinazoonyesha habari za Makonda kuwa huru kutazama hizo. Kinyume na hapo kama mfuko unaruhusu fungua ya kwako mwenyewe iwe na maudhui ya Makonda tu.