ITV imenunuliwa na mafisadi kutorusha habari za Makonda?

Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi.

Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki kurusha Press za Makonda fuatilia alipopokelewa DAR na hata alipopokelewa Dodoma ITV saa 2 hawakurusha maagizo ya Makonda.

Lakini TV karibu zote ziliripoti mkutano wa Makonda.

ITV pekee ndio hawajarusha taarifa ya Makonda.

ITV kama mmenunuliwa na Mafisadi mkiamini mtaweza kuzima ndoto za Makonda kuwasemea watanzania wanyonge mtakuwa mmekwama sana siku hizi dunia imeshahama huko.
Mental health
 
Mpumbavu mkubwa wee!
 
wewe uliangalia TV zote kwa wakati mmoja??????
 
Awali ya yote unapaswa kufahamu kuwa ITV ni kituo binafsi hivyo hakina shurtisho la kuonyesha kila unachotaka wewe.

Pili, si kila mtu anamuona Makonda ni wa muhimu sana kama umuonavyo wewe. Kwa nafasi yake Makonda ni msema chochote tu wa chama, japo kajitiwika ukatibu mkuu kabisa na kuanza kutukana na kudhalilisha watu ambao hana hata mamlaka nao.

Mwisho na la muhimu zaidi, kuna channel nyingine kadhaa zinazoonyesha habari za Makonda kuwa huru kutazama hizo. Kinyume na hapo kama mfuko unaruhusu fungua ya kwako mwenyewe iwe na maudhui ya Makonda tu.
Duuu! mbona povu mzee 😀
 
View attachment 2801206
Bashite yeye ni kama nani ???????
Photo shopping inatumika sana kuchezea akili za watu wa kawaida, yaani hapa hata mtu mwenye akili kama za kwangu ni rahisi kugundua uongo wa wazi! ukiangalia mikono ya makonda ina rangi mbili tofauti, lkn pia enzi mama samia akiwa kwenye staili hii makonda alikua hajazaliwa, watu bhana!
 
Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi.

Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki kurusha Press za Makonda fuatilia alipopokelewa DAR na hata alipopokelewa Dodoma ITV saa 2 hawakurusha maagizo ya Makonda.

Lakini TV karibu zote ziliripoti mkutano wa Makonda.

ITV pekee ndio hawajarusha taarifa ya Makonda.

ITV kama mmenunuliwa na Mafisadi mkiamini mtaweza kuzima ndoto za Makonda kuwasemea watanzania wanyonge mtakuwa mmekwama sana siku hizi dunia imeshahama huko.

Si Kuna channel ten ya CCM . Punguzeni lawama za kitoto.
 
Kila chama cha siasa kina katibu wa uenezi. Je, how Makonda anakuwa exceptional?
 
Back
Top Bottom