ITV imenunuliwa na mafisadi kutorusha habari za Makonda?

Mnadhani ITV ni Ayo TV?
 
Sisi tunaofuatilia tabia za ITV kwa miaka mingi dhidi ya jamii flani flani hapa Tz tuna mengi lkn. tunasubiri wengine wayaone pia, hawa jamaa wanajifanya BBC (Wazee wa fitna)
 
Binadamu unadhaminiwa ukiwa hai, ukifariki basi hata kama ulikuwa na mali kiasi gani,ukisha kufa zote zinaharibika tu.
 
Mnayo TBC,Channel Ten na Star TV bado haziwatoshi tu?
 
Kwani Makonda ni mnyonge?
 
makonda ndie nani? MTU WA KAWAIDA
Ni International figure? HAPANA
Taaifa zake ni muhimu kwa Taifa? HAKUNA KITU
Mleta mada sio kila kitu ni cha kurusha ktk vyombo, mnaweza kujikuta mnarusha hadi ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…