ITV kuweni serious na kazi yenu ya habari, sio kila mtu wa ni kumuuliza kila kitu.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala ya kuwatafuta wataalamu wa biashara, fedha, au uchumi kutoka taasisi mbalimbali za hadhi ya juu kama vyuo vikuu au benki wao wakaenda mtaani kuokoteza watu wasiojua chochote kuhusu mfumo wa fedha.

Wameenda kutafuta sijui ni watembeza maji au wamachinga wakaanza kuwauliza maswali wafanye uchambuzi! Mwingine anaitwa mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Dar yeye akasema hili suala litachangia ku "stabilize" shilingi yetu, nilipoons huu upupu hapo nikazima na TV na kuendelea na mambo mengine kabisa.
 
Mtanzania kuliko akuambie sijui atakupa jibu lolote lile.

Ni ngumu sana Mtanzania kusema sijui.
Wapo wanaosema sijui ila wanalazimishwa ili mtu apate content, hao aitvii walichofeli ni kupata sampuli inayofaa ingawa wapo sahihi ila wamechukua sampuli mbovu kwa hio lazima findings ziwe mbovu pia
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala ya kuwatafuta wataalamu wa biashara, fedha, au uchumi kutoka taasisi mbalimbali za hadhi ya juu kama vyuo vikuu au benki wao wakaenda mtaani kuokoteza watu wasiojua chochote kuhusu mfumo wa fedha.

Wameenda kutafuta sijui ni watembeza maji au wamachinga wakaanza kuwauliza maswali wafanye uchambuzi! Mwingine anaitwa mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Dar yeye akasema hili suala litachangia ku "stabilize" shilingi yetu, nilipoons huu upupu hapo nikazima na TV na kuendelea na mambo mengine kabisa.
Lipia kisimbuzi hiyo itv siyo Channel ya kuangalia mtu mzima unaye jitambua
 
Imekaa kama kabumbu, draft au bao, ukiwa nje duh!

Ingependeza zaidi mwamba kushauri kwa mifano yako mwenyewe.
 
Bado unaangalia ltv na quality yao ilivo mbaya vile
 
Back
Top Bottom